hahahaha!et sura yake imejaa uwoga...kwani kalazimishwa jamani!Ila psychologically tu Jamaa anaonekana atapelekeshwa mno na Flora. Sura yake imejaa uwoga mtupu na hana confidence ya kutukuka.
Huyu binti yuko desperate mpaka sasa.Ukweli wa tabia ya mtu haiwezi kujificha. Inawezekana vipi mtu mwenye akili timamu kwenda kupiga picha kwenye chuma cha kulala hotelini? Unataka kuwaambia nini watazamaji? Jinsi ulivyobobea kwenye uzinzi na sasa unataka kumwingiza kijana wa watu kwenye uasherati? Huyu mtu anayejiita mchungaji ambaye atafunga ndoa ya namna namna hii atakuwa naye ni mchungaji mamboleo na mchumia tumbo.
Mapouudaaaaachalii anaonekana mtu wa kutupia "mapouda".
Hahaaaaaa nilitaka kusema kitu hapamiondoko hiyo huyo pastor wa kilokole anayeenda kuwafungisha ndoa, mbona kama wameshagusishana sehemu zao tayari kabla ya ndoa?
mkuu vipi na hapo kwako maji yanatoka kem kem?Uroda uroda labda amekuta bado panatoa maji kem kem, kama hata anajua kuwa hayo yanaongeza uroda wa grade ya juuuuuuuuuuuu.
Ila kazuri jamani kavulana hako, naona bibie kaakua kuachana na wazee na apate dogodogo ampe furaha na mapenzi motomoto amfunze kijana uroda wa maisha ya faragha. Ila najua wazee wengime nao hawajambo ha ha ha haaaaaa
kila neno siku ya mwisho kitatolewa hesabu.Duu dogo angejua Ngwajima mzee wa misukule alikula hadi kachoka.
mkuu vipi na hapo kwako maji yanatoka kem kem?
Mkuu matumizi ya neno kama utokea pale kitu kikiwa sio chenyewe kwa mfano hii gari "Kama" ndege.Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu
Mkuu umeua hashtag#jikeshupa#mwanae wa kumzaa kabisa