laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
kaka swahiba wakoDuh!!!!!!
Unaniuliza swali wewe kama nani!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaaaniiiiMaskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
Huo wivu sasa ulikuwa unamtaka niniHaha kwa iyo wee ulimtaka ama,
Huo wivu sasa ulikuwa unamtaka nini
Unaushahidi huo hakuna ndoa ya Jumapili.Walokole wanafunga tu hata jumapili
Dogo anabemendwa yeye anafurahia
Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na vijana wenzao. Wanataka kubebwa mgongoni na kupelekwa tu chumbani. Longo longo ya sitaki nataka ya nini? Umri ni namba tu, mashine haizeeki
mbona kama kijana anamwoa bibi yake
Huyu Mtoto anataka kuchomeka kwenyeashimo ya wakubwa, atababuka, shauri yake
mwanae wa kumzaa kabisa
Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu
Maskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
Mbona kama katoto kwa Flora?Au macho yangu?
Mbona dogo anaonekana kama yuko na shangazi yake, hawa match
Hhyu mwanamke anamzidi huyu mwanaume kwa umri
Mkuu hapo ilikuwa katika ile tunaita shake before use..haahaaa..walilalahapo hotelini walienda tu kupiga picha ama walilala pia?????
Flora pia anaonekana ni aina ya wanawake wanaopenda kuendesha wanaume. Hata mbasha nilimsoma alikuwa wa type ya huyu jamaa wake wa sasa.Ila psychologically tu Jamaa anaonekana atapelekeshwa mno na Flora. Sura yake imejaa uwoga mtupu na hana confidence ya kutukuka.
Shake before use principle states that".. "miondoko hiyo huyo pastor wa kilokole anayeenda kuwafungisha ndoa, mbona kama wameshagusishana sehemu zao tayari kabla ya ndoa?
Hakuna kitu kama hicho kuna kutengana na si kuachana.Si washapeana talaka, tena kwa kuzini au uzinzi. Biblia inaruhusu mdau.
sikuwahi kujua mkuu kama FM ana sura nzito namna hii, unaweza haraka haraka ukasema ni sahani yenye futari ya magimbi.Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu
unaonekana umekwiva mnooo!!!Uroda uroda labda amekuta bado panatoa maji kem kem, kama hata anajua kuwa hayo yanaongeza uroda wa grade ya juuuuuuuuuuuu.
Ila kazuri jamani kavulana hako, naona bibie kaakua kuachana na wazee na apate dogodogo ampe furaha na mapenzi motomoto amfunze kijana uroda wa maisha ya faragha. Ila najua wazee wengime nao hawajambo ha ha ha haaaaaa
Picha mbona kama wanaakti, alafu serengeti boi, ila kambi popote!View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.
Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.
Hizi hapa picha…