Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Dogo anabemendwa yeye anafurahia

Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na vijana wenzao. Wanataka kubebwa mgongoni na kupelekwa tu chumbani. Longo longo ya sitaki nataka ya nini? Umri ni namba tu, mashine haizeeki

mbona kama kijana anamwoa bibi yake

Huyu Mtoto anataka kuchomeka kwenyeashimo ya wakubwa, atababuka, shauri yake

mwanae wa kumzaa kabisa

Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu

Maskini kaka Wa watu anaenda kubakwa

Mbona kama katoto kwa Flora?Au macho yangu?

Mbona dogo anaonekana kama yuko na shangazi yake, hawa match

Hhyu mwanamke anamzidi huyu mwanaume kwa umri
885bbe5363f05da8717a97f59b510472.jpg
62ce62909e89885333f71334d0537a3b.jpg


Wabongo tuache maneno mengi! Huyo ni rais wa ufaransa umemuona na kifaa chake??
 
Guys, sioni sababu ya kujadili hapa, Tukianza kujadili Mahusiano ya mmoja mmoja wenu hapa kuna mambo tutayaona ya ajabu kiliko hili tunalo Jadili.

Lets call it life maze na mabo yanasonga mbele.

Maddam Flora Mungu akujalie Maisha mema katika ndoa yako
 
Ila psychologically tu Jamaa anaonekana atapelekeshwa mno na Flora. Sura yake imejaa uwoga mtupu na hana confidence ya kutukuka.
Flora pia anaonekana ni aina ya wanawake wanaopenda kuendesha wanaume. Hata mbasha nilimsoma alikuwa wa type ya huyu jamaa wake wa sasa.
 
Kaka hayupo comfortable kabisa. Kama kakaa na dada yake.

Ndoa njema kwao!!
 
Uroda uroda labda amekuta bado panatoa maji kem kem, kama hata anajua kuwa hayo yanaongeza uroda wa grade ya juuuuuuuuuuuu.

Ila kazuri jamani kavulana hako, naona bibie kaakua kuachana na wazee na apate dogodogo ampe furaha na mapenzi motomoto amfunze kijana uroda wa maisha ya faragha. Ila najua wazee wengime nao hawajambo ha ha ha haaaaaa
unaonekana umekwiva mnooo!!!
[emoji39]
 
View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa


====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.

Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.

Hizi hapa picha…

20170427_123842.jpg


20170427_124005.jpg


20170427_124036.jpg


20170427_124107.jpg


20170427_124118.jpg


20170427_124143.jpg


20170427_124150.jpg


20170427_125223.jpg


20170427_125224.jpg


20170427_130646.jpg
Picha mbona kama wanaakti, alafu serengeti boi, ila kambi popote!
 
Back
Top Bottom