Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Picha kama walikuwa wanajiandaa kuku kuchi kuchi mubashara
..maana si kwa mapicha hayo,room kawaida huwa selfie sasa hawa wameita na camera man kabisa,Kuna movie ina actiwa hapa....sio bure.
 
Hakika namuombea flora Mungu ambariki! Sio mnafiki anajua mwanadamu na si mtawa hawezi kukaa hivyo bila mwanaume maisha yake yote, heri awe na mmoja! Wanaomkashifu Flora wajitazame upya je wao ni wakamilifu hadi kumuhukumu flora? Wengi ni wazinzi wakimataifa bado wanamyooshee kidole
 
Mficha uchi hazai, mwacheni auanike wautandije azae, maisha mafupi haya
 
Huyu Flora sijui nini kimemkuta...!!
 
Hivi huyu naye si mdogo kwake kiumri kama alivyokua Mbasha. Inaonekana Flora anapenda sana viserengeti boys
 
Huyu dogo naye boya mbna anaonekana chalii mdogo kabsa uoe bibi kizeee..kisa pesa hata hvyo hana pesa za kesema huyo dem
 
hapo hotelini walienda tu kupiga picha ama walilala pia?????
Walienda kusoma novel
 
Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Huyo siyo mlokole.anahisi ameokoka kumbe hata hakuwaki kuokoka.Mlokole aliyekutana na Yesu kweli anabadilishwa tabia na anafanya yanayompendeza Mungu.
 
Nimesoma mahali ya kwamba bw harusi ana miaka 24 tu eti.
 
Maskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ni chumbani...keshamong'onyolewa eh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…