Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Co tu kufunga ndoa mara mbili, yan hata kukaribiana huko hakuruhusiwi icpokuwa kwa idhini maalumu kutoka kwa mchungaji mlezi wenu....na mkiwa na maongezi mnatoa taarifa na maongezi yanafanyika mahali pa wazi kwa mchungaji au wazazi na panakuwepo na mtu/watu wengne ktk mazungumzo. Lkn hapo naona dogo anabambia na ndoa haijafungwa tena wako ndani ya 'four walls' hatari sana, tena kulikuwa na ulazima gani wa kutuonesha picha hizi[emoji3] tanzania raha thaanaa!!!
 
halafu eti utafiti unakuja watz hawanafuraha!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Guys, sioni sababu ya kujadili hapa, Tukianza kujadili Mahusiano ya mmoja mmoja wenu hapa kuna mambo tutayaona ya ajabu kiliko hili tunalo Jadili.

Lets call it life maze na mabo yanasonga mbele.

Maddam Flora Mungu akujalie Maisha mema katika ndoa yako
Leta mada unayotaka tuijadili
 
Nimesoma mahali ya kwamba bw harusi ana miaka 24 tu eti.
Ndio miaka yake hiyo ,,,kuongeza utundu sanaa kitandani utajikuta unapendwa sanaaa. Ndio kama frola anaonaa kabisa wazee mpaka viagra bora aolewe na damu changaaa

Nawaza tu jinsi madamu naye anazijua style mbali mbali za kitandani zote anazijuaaa ila akili yangu sijui ikoje nilikuwa nawaza zaman kwamba watumishi wa mungu hawajui style zozote. Nawaza madam kawekwa chuma mbogaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa

====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.

Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.

Hizi hapa picha…

20170427_123842.jpg

20170427_124005.jpg

20170427_124036.jpg

20170427_124107.jpg

20170427_124118.jpg

20170427_124143.jpg

20170427_124150.jpg

20170427_125223.jpg

20170427_125224.jpg

20170427_130646.jpg

Dogo ishi nalo kwa akili hilo kisha hakikisha unajilimbikizia mali home kwa kuwekeza kwa ndugu kisha akianza kuwa na makunyanzi unatoa talaka unaoa mlokole mbichi
 
Daaah team KITONGA wenzangu lazima mate yatudondoke, huyu jamaa si dogo tu. Mseleleko kama huo natamani unidondokee mm. Nani anataka stress za visichana vidogo. Mwendo wa kulelewa tu.
Fanya mpango mazee!!

Huu ukata ni shidaa lazima akili icheze kutafuta alternative kwa nguvu.
 
Kijana ni mdogo sana jmn. Alaf mkali.. mbona kuna wadada size yake wazur na wenye kujiheshimu tu
Hao wadada wa age yake(24) ni pasua kichwaa.

Wanaweza wanajiheshimu lakini wengi wao ni time bomb.
 
Back
Top Bottom