Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Dogo ishi nalo kwa akili hilo kisha hakikisha unajilimbikizia mali home kwa kuwekeza kwa ndugu kisha akianza kuwa na makunyanzi unatoa talaka unaoa mlokole mbichi
Acha kuhubiri ushetwani wewe.... Hiyo risala nenda kawasomee wadogo zako.

Hii ndoa tayari imehalalishwa na kutiwa upako na bwana wa mabwana aliye hai halafu wewe unaleta shauri za kipuuzi kama umetoroka jehanamu eboo!!
 
Ndiyo muamini asilimia kubwa ya hawa wanaojiita wameokoka ni wanafk sana bora ukutane na mwanamke kahaba unayemjua kuliko hawa wanaokwambia wameokoka!
 
Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Kuolewa mara mbili si hoja hoja ni kuolewa na mtoto mdogo ndio nini kama si kuharibu watoto wa wenzake?! Aibu aibu halafu eti mlokole uchafu mtupu! Kwani Peter naye mtoto mdogo aliyemzalisha mtoto wa mwisho hakufa kumuwowaaa?! Kha ulokole huu watakaochomwa wengi haluuu!
 
Mbona kama jamaa amebemendwa!!.......au macho yangu!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Kama ni member humu bila shaka atasoma koment, naomba nikuombe kitu ki1 bwana kusweka, huyo mtoto wa flora kula wewe acha uzabezabe wa wanaume wa dar, kula kuku na mayai yake kuonesha urijali wako.
 
Hapa dogo kama anakula kiapo vile cha utii.

20170427_123842.jpg
 
Back
Top Bottom