Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa


====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.

Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.

Hizi hapa picha…

20170427_123842.jpg


20170427_124005.jpg


20170427_124036.jpg


20170427_124107.jpg


20170427_124118.jpg


20170427_124143.jpg


20170427_124150.jpg


20170427_125223.jpg


20170427_125224.jpg


20170427_130646.jpg
Hapa bado walikuwa hawajavua(na) nguo
 
Nikimuangalia umri wa Hutu dogo na huyu mdada nakumbuka hadithi fulan niliwahi kusikia kuhusu ndoa ya mke wa kwanza wa kiongozi wa imani fulan
 
Utakuta wengine humu waume zao ni wakubwa kwao ila hiyo midomo sasa, wale waislam wenzangu ukute wanaponda pia huku wamesahauMtume na mke wake mkubwa Bi Khadija
 
" Alionewa Bwana Yesu, Msalabani Bwana Alionewa. . . . ." Moja Kati Ya Maneno Yaliyo Ktk Wimbo Wake Maarufu. Mm Pia Naamin Yesu Walimuonea, Yan Walikosa Watu Wakuwasurubisha? Inamaana Wazinifu, Wezi Hawakuwaona? Na Mm Kwa Kumuona Huyu Jamaa Naanza Kuhisi Madam Anaonekana Mtu Acyependa Kabsa bamia, Yeye Ni Milunda Tu. Sema Aangalie Jamaa Nae Acje Akawa Mtu Wa Kutumia Kisamvu, Mbona Wataachana Mapema. Maana Ndoa Za Kukurupukia Hz. . .
 
FROM UNKNOWN TO KNOWN....... Halafu nasikia jamaaa ana asili ya koromije..hhhahahhaha
 
The chalii reflects no love but the old woman's pay slip in the pocket
 
View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa


====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.

Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.

Hizi hapa picha…

20170427_123842.jpg


20170427_124005.jpg


20170427_124036.jpg


20170427_124107.jpg


20170427_124118.jpg


20170427_124143.jpg


20170427_124150.jpg


20170427_125223.jpg


20170427_125224.jpg


20170427_130646.jpg

SAFI sana mdau KUSEKWA, hayo ndio maumbo yetu wembamba watu wenye MISHEDEDE!!safi Mkuu TAFUNA HIYO KITU MDAU.
 
Mmmmh jamani

Nimekua na sasa nayaona

Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?


HAKUNA ULOKOLE, HAPO NI KWENYE UCHUMBA NDUGU, WAPO ROOM HAPO NA MABUSU, MOST PROBABLY NA KITUMBUA KIMELIWA
 
Mimi siamini kama ni kweli kwa sababu zifuatazo:
1. Iweje ndoa hiyo ifungwa siku ya J2?? Au ni wasabato siku hizi?
2. Huyo mtumishi anayekwenda wafungia ndoa, akili zake ziko sawa kweli?? Ukristo gani jamani huo?? Uache mume (Kwani yeye Flora ndo aliomba hiyo talaka.) Hata mwaka bado ati tiyari anaoa tena. Huoni hawa waliyaanza maisha hata alipokuwa na Mbasha??
3. Je, huyu ndiye babake yule mtoi tuloambiwa ni wa Gwaji??
4. Madam F, umepatapi ujasiri wa kuitangaza injili iokoayo kwa nyimbo za injili hata baada ya kumtaliki Mbasha??
Acha kulitukanisha jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukristo wa aina yako haupo
Aache nyimbo za injili aimbe za kidunia atabamba tu
 
Back
Top Bottom