Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ngoja nikuitie yule ant wako wa JF nimwambie kuwa siku hizi umekuwa toto tundu sana!!🙂🙂🙂Kila la kheri kwenye ndoa yenuuu migegedano memaaa[emoji4] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikuitie yule ant wako wa JF nimwambie kuwa siku hizi umekuwa toto tundu sana!!🙂🙂🙂Kila la kheri kwenye ndoa yenuuu migegedano memaaa[emoji4] [emoji125]
Mkuu hapo unanilisha manenoulitaka kusema washatombana kabla ya ndoa?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] wewe yaishie hapa hapa babu kanitengaaa unataka ukoo mzm unikimbieee aaah tafadhali bhana nitakupa zawadiNgoja nikuitie yule ant wako wa JF nimwambie kuwa siku hizi umekuwa toto tundu sana!!🙂🙂🙂
Hapa bado walikuwa hawajavua(na) nguoView attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.
Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.
Hizi hapa picha…
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115][emoji87] [emoji87] [emoji87] wewe yaishie hapa hapa babu kanitengaaa unataka ukoo mzm unikimbieee aaah tafadhali bhana nitakupa zawadi
Rangi ya mkono na uso ni differ mnachunguza nyinyichalii anaonekana mtu wa kutupia "mapouda".
Kama vp mtokee Mr Mbasha mbona kama wamefanana na mshikajiSijui watetea haki za watoto wako wapi haaaa
Kumbe unapajua... Naomba uniekekeze sehemu ilipo
View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.
Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.
Hizi hapa picha…
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mmmmh jamani
Nimekua na sasa nayaona
Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Aache nyimbo za injili aimbe za kidunia atabamba tuMimi siamini kama ni kweli kwa sababu zifuatazo:
1. Iweje ndoa hiyo ifungwa siku ya J2?? Au ni wasabato siku hizi?
2. Huyo mtumishi anayekwenda wafungia ndoa, akili zake ziko sawa kweli?? Ukristo gani jamani huo?? Uache mume (Kwani yeye Flora ndo aliomba hiyo talaka.) Hata mwaka bado ati tiyari anaoa tena. Huoni hawa waliyaanza maisha hata alipokuwa na Mbasha??
3. Je, huyu ndiye babake yule mtoi tuloambiwa ni wa Gwaji??
4. Madam F, umepatapi ujasiri wa kuitangaza injili iokoayo kwa nyimbo za injili hata baada ya kumtaliki Mbasha??
Acha kulitukanisha jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukristo wa aina yako haupo