Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Acha kuhubiri ushetwani wewe.... Hiyo risala nenda kawasomee wadogo zako.Dogo ishi nalo kwa akili hilo kisha hakikisha unajilimbikizia mali home kwa kuwekeza kwa ndugu kisha akianza kuwa na makunyanzi unatoa talaka unaoa mlokole mbichi
Hii ndoa tayari imehalalishwa na kutiwa upako na bwana wa mabwana aliye hai halafu wewe unaleta shauri za kipuuzi kama umetoroka jehanamu eboo!!