shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Teh teh mkuuuDuu dogo angejua Ngwajima mzee wa misukule alikula hadi kachoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh mkuuuDuu dogo angejua Ngwajima mzee wa misukule alikula hadi kachoka.
Co tu kufunga ndoa mara mbili, yan hata kukaribiana huko hakuruhusiwi icpokuwa kwa idhini maalumu kutoka kwa mchungaji mlezi wenu....na mkiwa na maongezi mnatoa taarifa na maongezi yanafanyika mahali pa wazi kwa mchungaji au wazazi na panakuwepo na mtu/watu wengne ktk mazungumzo. Lkn hapo naona dogo anabambia na ndoa haijafungwa tena wako ndani ya 'four walls' hatari sana, tena kulikuwa na ulazima gani wa kutuonesha picha hizi[emoji3] tanzania raha thaanaa!!!Mmmmh jamani
Nimekua na sasa nayaona
Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
halafu eti utafiti unakuja watz hawanafuraha!Co tu kufunga ndoa mara mbili, yan hata kukaribiana huko hakuruhusiwi icpokuwa kwa idhini maalumu kutoka kwa mchungaji mlezi wenu....na mkiwa na maongezi mnatoa taarifa na maongezi yanafanyika mahali pa wazi kwa mchungaji au wazazi na panakuwepo na mtu/watu wengne ktk mazungumzo. Lkn hapo naona dogo anabambia na ndoa haijafungwa tena wako ndani ya 'four walls' hatari sana, tena kulikuwa na ulazima gani wa kutuonesha picha hizi[emoji3] tanzania raha thaanaa!!!
Leta mada unayotaka tuijadiliGuys, sioni sababu ya kujadili hapa, Tukianza kujadili Mahusiano ya mmoja mmoja wenu hapa kuna mambo tutayaona ya ajabu kiliko hili tunalo Jadili.
Lets call it life maze na mabo yanasonga mbele.
Maddam Flora Mungu akujalie Maisha mema katika ndoa yako
Lazima dogo atacheat tu, time will tell! By the way hiyo avatar yako vipi naona kanga imekuwa overloadedDogo maisha yake ni magumu sanaa
Ndio miaka yake hiyo ,,,kuongeza utundu sanaa kitandani utajikuta unapendwa sanaaa. Ndio kama frola anaonaa kabisa wazee mpaka viagra bora aolewe na damu changaaaNimesoma mahali ya kwamba bw harusi ana miaka 24 tu eti.
View attachment 502692 Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.
Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.
Hizi hapa picha…
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Waujua ugonjwa wakeDogo atazamishwa mgodini.... Apige dekiiii bidada ndio ugonjwa wake.
Madame Frola kampendea dogo pipe, nasikia anaundugu na punda dogoHuyu Mtoto anataka kuchomeka kwenyeashimo ya wakubwa, atababuka, shauri yake
Fanya mpango mazee!!Daaah team KITONGA wenzangu lazima mate yatudondoke, huyu jamaa si dogo tu. Mseleleko kama huo natamani unidondokee mm. Nani anataka stress za visichana vidogo. Mwendo wa kulelewa tu.
Ticha vip mwanafunzi wako alikuwaje hakuwa kicheche au alikuwa mtu wa din sanaaHongera sana kijana Daudi Kusekwa mwanafunzi wangu huko chona kahama
Ana miaka 24Huyu kijana anaonekana less than 27 hivi
Hao wadada wa age yake(24) ni pasua kichwaa.Kijana ni mdogo sana jmn. Alaf mkali.. mbona kuna wadada size yake wazur na wenye kujiheshimu tu
Kuna aibu gani hapo? Wabongo bana.Frola mungu anakuona,sidhani kama baba yako(marehemu moses klola)angeikubali aibu hii"shame on u Frola"
Ndio hivyo kucheat kawaida,,nawe umekuwa overheatingLazima dogo atacheat tu, time will tell! By the way hiyo avatar yako vipi naona kanga imekuwa overloaded
Unamjua personally? Au ni upashukuna tu ndio umekujaa.Dogo maisha yake ni magumu sanaa
Wengine wapo kibiashara zaidiKwani huyo ni mlokole au ni muimbaji wa nyimbo za injili ??au ukiwa muimbaji wa nyimbo za injili ni lazima uwe mlokole ??
Walokole inawezekana...unahama mchungaji tuu..Hawana system ya uongozi..
Huyo nae ni sifuri alishawahi kusema kuwa yeye anaimba nyimbo apate pesa yupokibiashara zaidiMboni hata huyo naye nasikiaga eti ni "furii masoni"
Mungu hakuweka umri wa kuoa au kuolewa.Halafu huyu kijana si km mdogo wake tu