Alipinga kujifukiza au chanjo?Acha kuamisha magoli, usiingize CHADEMA kwenye suala hili ili mpate pa kutokea. Watu wasio na misimamo ni CCM kuanzia mwenyekiti wao mpaka wanachama na imeambukiza mpaka Selikari yote. Miezi 6 nyuma msimamo ulikuwa kujifukiza na mashine ya kujifukiza ikawekwa Mhumbili National Hospital na Waziri huyu Dorothy na manaibu wake wote walikataa chanjo.
Mtu pekee CCM mwenye credibility ya kusapoti chanjo kwa sasa ni Ndungulile maana alikataa bungeni na ikamgharimu uwaziri wake wakati huo
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Zero ni Sukuma Gang na Askofu Chidi ndiye mfadhili mkuu wa hilo genge na ameliasisi kitambo tu.Hayo makeke yake yote anayafanya sababu yupo ccm, lingine ccm ya sasa inamakundi hata kama hayaonekani so inawezekana yeye ni speaker tu walioshika mic (vigogo wa chama) wapo nyuma. Siro kamjibu waziri wa Afya kama vile anamjibu Mnyika, ndio ufahamun kuwa hata Siro anakundi lake linalomtumia.
Na ndicho ninachosema Ndugulile alipinga kujifukiza kwasababu haiko kisayansi lakini huyu Dorothy yeye alipinga chanjo na kuna mpaka video akihasisha watu wale malimao na tangawizi leo hii anapata wapi moral credibility ya kuwaambia watu wachome chanjo alizozipinga miezi 6 tu iliyopitaAlipinga kujifukiza au chanjo?
Ninavyokumbuka alipinga kujifukiza.
Amuulize Nape,Mwakyembe na mwendazake Sitta.Kabla hajajaribu kuanzisha chama chake kwanza awaulize waliokurupuka kuanzisha vyama waliishia wapi.
Labda akasajilie kenyaAskofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM
Chama kilikufa kikiwa bado kwenye draft mode - ha ha haAmuulize Nape,Mwakyembe na mwendazake Sitta.
Kitakuwa kikundi cha pornstarskitakuwa ni chama ama kikundi cha washarika? nani atakisajili.
Hapa si kuna chemchem ya volkano? sasa kwa nini banda la kanisa limeruhusiwa kujengwa mahali hapa, ni hatari kwa usalama wa wananchi.Hiki ndiyo kijiwe cha Chidi.View attachment 1896691
Kwa nini sasa asipelekwe huko kwa JPMNileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .
Watazifanyia jukwaani ama itakuwa ni mwendo wa clipKitakuwa kikundi cha pornstars
Mtu akishika nafasi Fulani ya juu,hujiona yeye ndiyo mwenye mawazo mazuri kuliko wote.Na ndicho ninachosema Ndugulile alipinga kujifukiza kwasababu haiko kisayansi lakini huyu Dorothy yeye alipinga chanjo na kuna mpaka video akihasisha watu wale malimao na tangawizi leo hii anapata wapi moral credibility ya kuwaambia watu wachome chanjo alizozipinga miezi 6 tu iliyopita
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Askofu Gwajima anaizidi kwa mbali sana Chadema. Hakuna kitu Chadema kwa sasa, Chadema ilikuwa enzi hizo siyo hawa vibaraka wa mabeberu wa sasa na wafanya ugaidiAskofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama seh
Hahahaaaaa kuhusu hizo ahadi ni nimo,na shindwa hata kumtetea kabisa.Askofu Rashid siku zote ana mwanzo tu,kila jambo analolianzisha halina mwisho wa kueleweka.
Train ya umeme
Wapiga kura Kawe kupelekwa USA
Boat za uvuvi Kawe
Ujenzi wa Ghorofa refu kuliko yote Tanzania
Hataki Ubunge yeye ni mkubwa kuliko Rais na Wabunge....
Kumfufua Amina Chifupa.