Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Hivi unafikili kuanzisha chama na kufika level ya watawala kukiogopa ni kazi nyepesiAskofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Ni mweli hata Mimi nimeshangaa sana Siro alivyomtetea Kibwetere wa Tanzania.Hayo makeke yake yote anayafanya sababu yupo ccm, lingine ccm ya sasa inamakundi hata kama hayaonekani so inawezekana yeye ni speaker tu walioshika mic (vigogo wa chama) wapo nyuma. Siro kamjibu waziri wa Afya kama vile anamjibu Mnyika, ndio ufahamun kuwa hata Siro anakundi lake linalomtumia.
😂😂😂😂 Chadema yenye wanachama mil 10 na 7m wanalipa kila mwaka anakazi sanaAskofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Kikanisa chake kimemshinda ndio chama cha siasa?!Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
... kwa kuutumia vizuri mtaji alioachiwa na Jiwe kwakweli namshauri Gwajiboy ye 'ata aanzishe tu chama maana kanda ya ziwa yote keshaiteka!
😅View attachment 1896614
Naunga mkono hoja na wananchi wote tuliokuwa tunamkubali Jpm tutahamia hicho chama, maana Ccm tumeichoka ila hatuoni mbadala wa chama cha kuhamia mpaka sasaAskofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Labda atawapata misukule,Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.
Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.
Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.
Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.
Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Amekuteka wewe na familia yako tu.... kwa kuutumia vizuri mtaji alioachiwa na Jiwe kwakweli namshauri Gwajiboy ye 'ata aanzishe tu chama maana kanda ya ziwa yote keshaiteka!
😅View attachment 1896614
Hta Hamad Rashid ama Zitto mliwajaza hivi hivi. Leo hii wako wapi!! CHADEMA iangalie tu hivi tayari kna hard core supporters kabla ya kampeni walau wana kura 2m mfukoni!! Hakuna chama kingine cha upinzani kina capital hiyo.Askofu Gwajima anaizidi kwa mbali sana Chadema. Hakuna kitu Chadema kwa sasa, Chadema ilikuwa enzi hizo siyo hawa vibaraka wa mabeberu wa sasa na wafanya ugaidi
Alichofanikiwa pekee ni KUJIUA NA KUJIFUFUA mwenyewe .......!!Askofu Rashid siku zote ana mwanzo tu,kila jambo analolianzisha halina mwisho wa kueleweka.
Train ya umeme
Wapiga kura Kawe kupelekwa USA
Boat za uvuvi Kawe
Ujenzi wa Ghorofa refu kuliko yote Tanzania
Hataki Ubunge yeye ni mkubwa kuliko Rais na Wabunge....
Kumfufua Amina Chifupa.
Akomae muesisi huko huko ampokonye mother uenyekiti! Watanzania wanatafuta mtu jasiri kama yeye!!Aanzishe chama? Utaratibu wa kuanzisha Chama unafikiri unamalizika kwenye makaratasi?
Haipo na haitawezekana