Yaani kujua long term side effects za chanjo unahitaji kuwa na PhD ya udaktari?Gwajima anajua chochote kuhusu masuala ya Afya, Tiba au Chanjo ?
Kubishana na Gwajima ni utaahira wa hali ya juu.
Ni sawa na kumchukua Haji Manara akabishane na Elon Musk kuhusu masuala ya Space Exploration. Ni upumbavu tu na kupotezeana muda.
1- Consent form ni kawaida hata watu wanaofanyiwa operation huwa wanajaza.Wewe ndo tueleze tuanzia hapa ukinibu hili niulize la pili.
Kwanini chanjo ya Corona unatakiwa ujaze consent form wakati chanjo zingine huhitaji kujaza consent form?
Mkuu,nenda kachanjwe,hayo mengine waachie wataalamu.
Basi tuambie wewe mtabiri naada ya miaka 3,000 wale mnaokula BURGER au KVANT mtapata madhara gani ??Yaani kujua long term side effects za chanjo unahitaji kuwa na PhD ya udaktari?
Lo Watanzania kwa uvivu wa kusoma hawajambo.
Hujajibu swali.1- Consent form ni kawaida hata watu wanaofanyiwa operation huwa wanajaza.
2- Chanjo ya COVID-19 imeidhinishwa kwaajilibya matumizi ya dharula na hivyo utafiti wake haujakamilika kwa 100% na ndio maana hata baada ya kuchanja kuna utaratibu wa ufuatiliaji.
3- Ila tangu ianze kutolewa imeonekana iko effective kwa asilimia kubwa kudhibiti COVID-19.
Kamuangalie nyoka wa shaba!Covid-19 Updates: F.D.A.’s Vaccine Approval Leads Pentagon and Others to Add Requirements
The defense secretary will order the country’s 1.4 million active-duty service members to be vaccinated. The federal approval could also have implications for state bans on vaccine mandates.www.nytimes.com
swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved?
Sidhani kama umeielewa article .according to you FDA ilikuwa haijatoa full approval kwa covid vaccine.ndiyo maana kuna kundi kubwa hapo USA walikuwa wanasita kuchanjwa .Naona huelewi taratibu za dawa.
Dawa huidhinishwa na WHO. Chanjo zote zinazotumika zimeidhinishwa na WHO.
Nchi au taasisi fulani zinaweza kuakua kutumia au kutotumia aina fulani ya dawa, lakini sharti kwanza iidhinishwe na WHO.
Kwa mfano, kuna dawa nyingi kwaajili ya matibabu ya malaria zilizoidhinishwa na WHO, lakini sisi kama nchi, kupitia wizara ya afya, kuna dawa fulani tu ndiyo tulizoamua kutumika kwaajili ya matibabu ya malaria.
Kwenye hiyo article, kilichofanyika siyo uidhinishaji wa matumizi ya chanjo bali ni maamuzi ya kutumia chanjo zilizoidhinishwa na WHO.
Wewe ndo tueleze tuanzia hapa ukinibu hili niulize la pili.
Kwanini chanjo ya Corona unatakiwa ujaze consent form wakati chanjo zingine huhitaji kujaza consent form?
Mwalimu wako alipata tabu sana.Hujajibu swali.
najua consent form hujazwa kwa mtu anayetegemea kufanyiwa operation.
Kwanini ujaze consent form kwenye chanjo hii wakati chanjo zote huwa hatujazi?
Jielimishe bro hii chanjo WHO na Taasisi ya nchi za Africa nsio wametoa hii chanjo, nchi maskini ( hata mbao wanasema wako middle class uchumi unakuwa kwa 7% lakini ambao hawana uwezo kugundua chanjo yao au kununua utaratibu ni huo, tungeipata kama dawa nyingine au chanjo nyingine kama ndui na polio isingekuwa hivyo.Hujajibu swali.
najua consent form hujazwa kwa mtu anayetegemea kufanyiwa operation.
Kwanini ujaze consent form kwenye chanjo hii wakati chanjo zote huwa hatujazi?
Sidhani kama umeielewa article .according to you FDA ilikuwa haijatoa full approval kwa covid vaccine.ndiyo maana kuna kundi kubwa hapo USA walikuwa wanasita kuchanjwa .
Chanjo zote za COVID zimeidhinishwa na WHO kwaajili ya matumizi ya dharula kwasababu maisha ya watu yanapotea na shughuli ,a kiuchumi nyingi zilisimama.
Na bahati nzuri zimepunguza vifo kwa kiasi kikubwa sana.
Wewe unajua nini na hujamezeshwa nini ??huna unachokijua umemezeshwa tu eti matumizi ya dharula kwenye uhai wa binadamu,
Hii sio chanjo. Kila anayedhani hii ni chanjo amedanganyika na mwisho wake ni kuangamia. Natural immunity is sufficiently able to fight against covid 19. PCR test iliyotumika kubaini wenye vovid kilikuwa ni kipimo cha uongo ndio maana NI KWELI hata mapapai na dizeli vilikuwa positive; na ndio maana CDC ya marekani imetangaza kukiondoa kipimo hicho. Kwa nini kilitumika? Ili kwa makusudi ku-generate hofu wapate kutenda wanachokitenda sasa - yaani kudunga watu kile ambacho kwa uongo kinaitwa chanjo. Pole kwa uliyeamini uongo huu. --- IN THE AGE OF FREE KNOWLEDGE, IGNORANCE IS A CHOICE - AND IT CAN COST YOUR LIFE.View attachment 1916081
Sawa kabisa.Je TFDA yetu au TMDA yetu ilijiridhisha juu ya ubora wa chanjo hii ikiwa FDA wao walitoa partial approval? Na nafikiri FDA ina uzoefu mkubwa kuliko sisi.anywhere tuende tukachanje maana Africa hatuna ujanja wowote isipokuwa kukandamizna na kusingiziana.Bara zima hatuwezi kutengeneza chanjo na huku tunajidai tuna wasomi? Aibu kubwaUnajua tofauti ya FDA na WHO?
FDA ni aurthority ndani ya nchi husika.
WHO ni shirika la afya duniani.
Kila nchi ina FDA yake kama hapa ilivyo TMDA.
Kila nchi hupitia dawa au vifaa tiba kwa kutumia FDA yake. Hivyo, unaweza kuhitaji muda ili ujiridhishe.