ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hawa ndo wanachafua uislam halafu wanasinguzia wengineHuyu kima ana mambo ya kifala sana. Ukiangalia kwenye maswali yangu kwa mtoa mada hakuna sehemu nimemtukana, zaidi tu ya kutaka ufafanuzi! Ila yeye ameamua kujigeuza Asha Ngedere na kuanza kuparamia watu hovyo kwa matusi na kejeli.
Sasa mtu mwenye hofu ya Mungu ataandika matusi haya mtandaoni