Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?
Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.
Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana.