Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ccmHivi wale wabunge wa covid-19 waliingia bungeni kwa tiketi ya chama gani?
Nimeandika kimkakati mkuu , Mwenyekiti wa kamati ya kuhakiki mali za ccm alikuwa Bashiru AllySasa unamuaminije mtu aliyekula pesa za shule
Kama nyie mlivyozoa Lowasa, mtu mliyemwita Fisadi kwa miaka 10!!Chama maiti wao zoa zoa tu, ili mradi waibe KODI zetu kwa jina la Chama dola.
"Nilimpotaka kumteua Bashiru kuwa Katibu Mkuu, niliambiwa huyu ni CUF; nikasema ninamtaka CUF kama huyu CCM"Nakumbuka magufuli alisema kuna watu ccm walisema ameteua mtu toka cuf kuwa katibu mkuu. Leo ndo sasa tunawajua waliosema hivyo.
KWELI, mpaka kada wa CCM (Lowassa) Kawa raisi wa CHADEMA! Huu ndio Uzuri wa kuwa mtanzania.Chama maiti wao zoa zoa tu, ili mradi waibe KODI zetu kwa jina la Chama dola.
Mwisho wao ndio tayari umewadiaChama maiti wao zoa zoa tu, ili mradi waibe KODI zetu kwa jina la Chama dola.
Cha Ndugaye na PolepoleHivi wale wabunge wa covid-19 waliingia bungeni kwa tiketi ya chama gani?
Wana ccm wengi hawakumuunga mkono Bashiru ila sema hawakuwa na sehemu ya kusemea kipindi hicho.Nakumbuka magufuli alisema kuna watu ccm walisema ameteua mtu toka cuf kuwa katibu mkuu. Leo ndo sasa tunawajua waliosema hivyo.
Tunaisubiri siku hiyo isiyo na jina ambayo ikitokea basi watanzania watasherehekea siku 7 mitaani.Chama Cha Mazuzu. Siku sio nyingi muujiza mkubwa kabisa Utatokea ndani ya chama hicho