Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Ndio shida zetu watu weusi..COMPARISON & JUDGING.. " huyu ana akili, huyu hana", "huyu yuko hiv, huyu yuko vile".
What is this all for??
How does this help ?

End of a day u need to avail something on table for your loved ones regardless u had 1 or 0.
 
Humu kila mtu ana akili
Kila mtu anajua
Sasa na wao watuweke matokeo yao
Humu

Ova
 
Jamaa namkumbuka first year pale IFM 2011/2012 , tumetoka kwenye paper ya QM namkuta pale screen saver (geti la Makumbusho) kajiinamia namuuliza vipi bro, anasema hesabu ngumu sana, sikuwahi muona tena baada ya Ile sem 1 pale chuoni

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
So alidisco au?
 
Sure mkuu,

Me nimesoma T.I.A pale hamna mambo mengi yan mtu aki disco T.I.A basi ujue huyo ana matatizo ya akili

Kaka hata sisi wengine tumesoma hapo ila unavyowasilisha mada yako watu wataelewa tofauti mzee utaleta mchanganyiko hapa wakati wengine tulisotea sana kuipata iyo degree hapo
 
Back
Top Bottom