Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Je ni vigezo gani mnatumia kumwita mtu kipanga?Sasa huyo Bernard alibakiwa na nini mpka anaitwa kipanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni vigezo gani mnatumia kumwita mtu kipanga?Sasa huyo Bernard alibakiwa na nini mpka anaitwa kipanga
Kipanga kishule shule ni kupiga mabanda!Je ni vigezo gani mnatumia kumwita mtu kipanga?
Kwa hiyo wenye uwezo mkubwa wa kukariri ndio vipanga?Kipanga kishule shule ni kupiga mabanda!
Kwanini unaita kukariri? Kwamba kila anayepata banda hajaelewa amekariri?Kwa hiyo wenye uwezo mkubwa wa kukariri ndio vipanga?
Kama ni hivyo Bern hastaili.
Aibu,labda iwe ya penalty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann??
[emoji23][emoji23][emoji23] ila 3 kwa kweli hapanaa.Watu wa siku hizi!dv3 ndio kipanga?wenzenu tulikuwa tunajificha ndani Kwa muda ukipata huyo dv
Aibu,labda iwe ya penalty
Imagine🙄[emoji23][emoji23][emoji23] ila 3 kwa kweli hapanaa.
Hapo kapiga kweli kitambo hicho 2010 Ila hio siku hizi ukipata unaona hujafanya kitu (kajifiche uvunguni) ingawa chuoni unapokelewa km kawaida na boom ukiotea unapewa maana div 1 wanapewa bure hawaumizi kichwa, shule nzima Ina div 1 za kupewaWatu wa siku hizi!dv3 ndio kipanga?wenzenu tulikuwa tunajificha ndani Kwa muda ukipata huyo dv
Aibu,labda iwe ya penalty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ECA,Imagine[emoji849]
Hakuwa na jambo,kawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ECA,
Kapasua sio mchezo mchezo, siku hizi 1 ni bure bure tu those days you must crack your head na shule km azabiz by that time (sijui siku hizi pakoje) kulikua hakuna resources za vitabu na miundo mbinu ilivyo ni changamoto you know government schools zilivyokua those days sio sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ECA,
HaswaaaahHakuwa na jambo,kawaida tu
Hata sahivi hali ni ile ile tyuuh. Juhudi binafsi za mwanafunzi ndo zitamuokoa.Kapasua sio mchezo mchezo, siku hizi 1 ni bure bure tu those days you must crack your head na shule km azabiz by that time (sijui siku hizi pakoje) kulikua hakuna resources za vitabu na miundo mbinu ilivyo ni changamoto you know government schools zilivyokua those days sio sasa
Hapana Sasa si km zamani wameregezewa pakubwa saaana, sio km zamani zile this is 2023 usisahau miaka 13 imepita matokeo ya 2010 hayafanani na ya 2022 hata roboHata sahivi hali ni ile ile tyuuh. Juhudi binafsi za mwanafunzi ndo zitamuokoa.
Hahahahaaaa nimefuta comment ila unaendelea kutunza record au sio?
Labda baada ya format kubadilika, ila had 2019 hali ilikua km zamani.Hapana Sasa si km zamani wameregezewa pakubwa saaana, sio km zamani zile this is 2023 usisahau miaka 13 imepita matokeo ya 2010 hayafanani na ya 2022 hata robo
Yaan hapa huwezi kufuta lazima tumuhifadhie faili lako mkuu, yaan hapana haya mafaili hayawezi kufutwa hivi hiviHahahahaaaa nimefuta comment ila unaendelea kutunza record au sio?