Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Kipanga kishule shule ni kupiga mabanda!
Acheni dharau,huyu kijana alikua vizuri sana basi tu ni mambo ya dunia yalimchanganya.
Check hata matokeo yake ya o level,he was far good kuwazidi wengi tu humu jf wanaomkandia.
 
Attachments

  • Screenshot_20230423-053705_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20230423-053705_Opera Mini.jpg
    272.4 KB · Views: 11
We uliyepata A unaendeaje hapo ofcn? Liquidity ratio yako vip, liability haijazid Asset kweli?

Hayo yote uliyoandika ni utelembwe tu!
Huu uzi umeletwa kwa ajili ya kulinganisha liability na asset?
Inadhihirisha wazi pia na wewe ni kilaza tena zaidi ya huyu Ben!
Ukitaka tulinganishe hayo unayosema basi anzisha uzi wako, tuje huko tujuzane tunavyoendelea!
Halafu nikujuze tunavyoendelea!
Nasisitiza huyo ni kilaza tu, pamoja na wewe!
 
- jibu Hoja yake, usilete mambo mapya.
 
Acheni dharau,huyu kijana alikua vizuri sana basi tu ni mambo ya dunia yalimchanganya.
Check hata matokeo yake ya o level,he was far good kuwazidi wengi tu humu jf wanaomkandia.
Kwa matokeo haya mbna bora angeenda kusoma EGM advance, at least ilikua na future kwake..
 
- unapoulizwa swali unatakiwa ulijibu Kwa ufasaha, ndiyo ulete hoja mpya,

Maswali ambayo yapo nje ya mada hayawezi kujibiwa kwenye mada ambayo si yake!
Nishasema wewe utukuwa ni kilaza mwenzake na huyo unayeng'ania sijui ajibiwe hoja yake wakati nimemjibu inavyopaswa!
Wewe umeona hamna jibu kwa sababu ya ukihiyo na ukilaza wako!
Rudi usome upya, hakuna hoja mpya niliyoleta!
Period.
 
Back
Top Bottom