Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Sijaona hoja yoyote!
Kama umeiona nenda kaijibu!
Aliyeleta mambo mapya ni nani...?
Kumbe na wewe kilaza tu!
- unapoulizwa swali unatakiwa ulijibu Kwa ufasaha, ndiyo ulete hoja mpya,
Maswali ambayo yapo nje ya mada hayawezi kujibiwa kwenye mada ambayo si yake!
Nishasema wewe utukuwa ni kilaza mwenzake na huyo unayeng'ania sijui ajibiwe hoja yake wakati nimemjibu inavyopaswa!
Wewe umeona hamna jibu kwa sababu ya ukihiyo na ukilaza wako!
Rudi usome upya, hakuna hoja mpya niliyoleta!
Period.
  • Bado hujajibu hoja kisomi, mwenzako ame raise hoja ya asset na liability hujaijibu, badala ya kujibu hoja ya asset na liability, umeleta mambo mapya kabisa.
  • ungekuwa mahakamani,hapo Lazima ushindwe kesi Kwa sababu hujibu hoja, unaleta mambo mapya.
 
Huu uzi unahusu assets na liability?
Tuanzie hapo kwanza!
 
Huu uzi unahusu assets na liability?
Tuanzie hapo kwanza!
Unahusu Elimu ya Ben Paul, lakini kulikuwa na hoja ya asset na liability ndani yake ambayo kimsingi ililetwa na mleta mada, baada ya wewe kukashifu ufaulu wa division Three.
 
Angalia ulivyo kilaza na kihiyo!
Mleta mada amezungumzia hoja ya asset na liability wapi??
Screenshot comment ya mleta mada ama qoute uonyeshe alipozungumzia hiyo hoja unayoishupalia shingo!!

Halafu nikuulize pia ni wapi nimekashifu division three?

Nilichocomment awali ni F yake ya Bam, ambayo kimsingi kupata F bam ni ukilaza tu!!
 
Hayo yote uliyoandika ni utelembwe tu!
Huu uzi umeletwa kwa ajili ya kulinganisha liability na asset?
Inadhihirisha wazi pia na wewe ni kilaza tena zaidi ya huyu Ben!
Ukitaka tulinganishe hayo unayosema basi anzisha uzi wako, tuje huko tujuzane tunavyoendelea!
Halafu nikujuze tunavyoendelea!
Nasisitiza huyo ni kilaza tu, pamoja na wewe!
Hapa uliulizwa kuhusu Asset na liability,
 
Angalia ulivyo kilaza na kihiyo!
Mleta mada amezungumzia hoja ya asset na liability wapi??
Screenshot comment ya mleta mada ama qoute uonyeshe alipozungumzia hiyo hoja unayoishupalia shingo!!

Halafu nikuulize pia ni wapi nimekashifu division three?

Nilichocomment awali ni F yake ya Bam, ambayo kimsingi kupata F bam ni ukilaza tu!!
Namaanisha, Twilumba, ndiye aliyezungumzia mambo ya asset na liability, ww hukujibu hiyo hoja ukaanza kuleta dharau
  • inaonekana hoja ya asset na liability imekuumiza kichwa Sana, na Pengine Twilumba hajakosea
  • tunajuaje kama wewe sio kilaza? au Kwa Sababu unatumia fakeID na Elimu yako ya Kayumba
 
Angalia unavyozidi kudhihirisha ukilaza wako!
Twilimba ndiye mleta uzi huu?
Maana umesema mleta mada ndiye aliyeleta hoja ya asset na liability!

Huyo Twilimba nilishamjibu kuwa alichokosema hapa kwenye huu uzi siyo mahali pake, aanzishe uzi unaohusu hilo nikamjibu huko, ametulia! Jambo ambalo hata wewe nimeshakueleza lakini kwa ukilaza, ukihiyo na uzwazwa wako unaendelea kushupaza shingo hapa eti nikujibu!
Ukitaka majibu, anzisha uzi nitakuja kukujibu huko!
Unazungumzia suala la kutumia Id fake, wewe hutumii fake?

Nikujuze tu hii ID ninayoitumia ipo kwenye data base za nida basi,so usidhani natumia copy za watu kama ulivyofanya wewe limbukeni!
 
Maswali ambayo yapo nje ya mada hayawezi kujibiwa kwenye mada ambayo si yake!
Nishasema wewe utukuwa ni kilaza mwenzake na huyo unayeng'ania sijui ajibiwe hoja yake wakati nimemjibu inavyopaswa!
Wewe umeona hamna jibu kwa sababu ya ukihiyo na ukilaza wako!
Rudi usome upya, hakuna hoja mpya niliyoleta!
Period.
Weka div1 waione uondoe ubishi
We una 1 bana

Ova
 
Back
Top Bottom