Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

Weka div1 waione uondoe ubishi
We una 1 bana

Ova

Ni wapi nimesema nina 1?
Hata kama ninayo hapa si sehemu yake ya kuiweka! Na hapa nimebishana na nani kuhusu kitu gani kwani ili niondoe huo?
 
Angalia unavyozidi kudhihirisha ukilaza wako!
Twilimba ndiye mleta uzi huu?
Maana umesema mleta mada ndiye aliyeleta hoja ya asset na liability!

Huyo Twilimba nilishamjibu kuwa alichokosema hapa kwenye huu uzi siyo mahali pake, aanzishe uzi unaohusu hilo nikamjibu huko, ametulia! Jambo ambalo hata wewe nimeshakueleza lakini kwa ukilaza, ukihiyo na uzwazwa wako unaendelea kushupaza shingo hapa eti nikujibu!
Ukitaka majibu, anzisha uzi nitakuja kukujibu huko!
Unazungumzia suala la kutumia Id fake, wewe hutumii fake?

Nikujuze tu hii ID ninayoitumia ipo kwenye data base za nida basi,so usidhani natumia copy za watu kama ulivyofanya wewe limbukeni!
-kwanza kabisa, sio Twilimba, ni Twilumba hapo umeonyesha wewe ni Kilaza First Class
-mimi Kwenye hoja yangu nimekuja nimesahihisha kuwa ni Twilumba ndiye aliyeleta Hoja ya Asset na liability, baada ya wewe kukejeli na kudharau ufaulu wa Ben Paul
-Twilumba hawezi kuanzisha uzi Kwa ajili yako, Ili mkabishane naye huo ni Ujinga, hoja inaletwa hapa hapa na inajibiwa hapa hapa Kama Huwezi kubali huwezi Kujibu
-Wewe unatumia ID fake halafu unajifanya ni kichwa kumbe, yawezakuwa ni darasa la Saba,
-Hiyo ID haipo kwenye database ya NIDA, haipo ni Uongo kabisa, NIDA hawaandikishi jina Moja, ni kuanzia majina mawili
 
3 ECA afu useme n kipanga hapana sio kipanga ila tu amejutahidi sema tu bam imempenalt
 
Pata one, pata na hela.
Kuna Mtu advance alipata four ya 18 akaenda kusoma Mamtoni Bachelor na Masters Kwa Sasa ni mkurugenzi Yuko njema kinoma noma
Sisi na vi two vyetu plus one tunakopa kwake
Kuna huyo ana zero form kabisa but mwaka Jana aliingiza 100m sisi Sasa wasomi 10mpk tukakope
Tuheshimiane Kwa pale tulipofanikiwa ht kidogo
 
-kwanza kabisa, sio Twilimba, ni Twilumba hapo umeonyesha wewe ni Kilaza First Class
-mimi Kwenye hoja yangu nimekuja nimesahihisha kuwa ni Twilumba ndiye aliyeleta Hoja ya Asset na liability, baada ya wewe kukejeli na kudharau ufaulu wa Ben Paul
-Twilumba hawezi kuanzisha uzi Kwa ajili yako, Ili mkabishane naye huo ni Ujinga, hoja inaletwa hapa hapa na inajibiwa hapa hapa Kama Huwezi kubali huwezi Kujibu
-Wewe unatumia ID fake halafu unajifanya ni kichwa kumbe, yawezakuwa ni darasa la Saba,
-Hiyo ID haipo kwenye database ya NIDA, haipo ni Uongo kabisa, NIDA hawaandikishi jina Moja, ni kuanzia majina mawili

Nilivyoandika Twilimba, usidhani sikuona kwamba ni Twilumba!
Kiufupi wewe na yeye nimeshasema ni vihiyo tu!

Halafu angalia ulivyo zwazwa, kwenye hii comment ulisema aliyeleta hoja ya asset na liability ni mleta mada[emoji1427].
IMG_1260.jpg

Baada ya kuona uzwazwa wako ndio unasema Twilumba ndio alikuja na hoja ya asset na liability ambapo nilishamwambia hiyo hoja haina nafasi hapa maana si mahali pake, akaelewa ndio maana humuoni akiendeleza ligi!

Umesema nimekashifu ufaulu wa Ben, hivi kupata Bam F ni kufaulu?

Kumbuka hakuna sehemu nimezungumzia div 3 yake inayokaribia 4.
Kutumia ID fake unatumia wewe ambaye umeiga kwa ulimbukeni wako, ambapo hata maana ya hiyo Id unayotumia pengine hujui ama utakuwa na tabia za huyo uliyeiga jina lake na kulitumia kama ID yako hapa!

Nimeshakujulisha kuwa situmii ID fake kama wewe!
Hilo ID ninayotumia ni miongoni mwa majina yangu yaliyo kwenye data base za NIDA.
 
Nilivyoandika Twilimba, usidhani sikuona kwamba ni Twilumba!
Kiufupi wewe na yeye nimeshasema ni vihiyo tu!

Halafu angalia ulivyo zwazwa, kwenye hii comment ulisema aliyeleta hoja ya asset na liability ni mleta mada[emoji1427].View attachment 2597887
Baada ya kuona uzwazwa wako ndio unasema Twilumba ndio alikuja na hoja ya asset na liability ambapo nilishamwambia hiyo hoja haina nafasi hapa maana si mahali pake, akaelewa ndio maana humuoni akiendeleza ligi!

Umesema nimekashifu ufaulu wa Ben, hivi kupata Bam F ni kufaulu?

Kumbuka hakuna sehemu nimezungumzia div 3 yake inayokaribia 4.
Kutumia ID fake unatumia wewe ambaye umeiga kwa ulimbukeni wako, ambapo hata maana ya hiyo Id unayotumia pengine hujui ama utakuwa na tabia za huyo uliyeiga jina lake na kulitumia kama ID yako hapa!

Nimeshakujulisha kuwa situmii ID fake kama wewe!
Hilo ID ninayotumia ni miongoni mwa majina yangu yaliyo kwenye data base za NIDA.
- ni kweli kuwa hukuwa makini na ulikuwa hujui kama anaitwa Twilumba, pia wewe ni Kilaza, Kwa sababu huko makini.
-kuhusu kuwa hoja ya asset na liability ililetwa na mleta mada Mimi nilisha sahihisha awali, kuwa ni Twilumba,ila wewe kwa uzito wa akili zako ukaona jina jingine
  • Ameacha kuendeleza ligi Kwa sababu amekuona huna akili kama yeye, hawezi kubishana na Watu wa IFM kama wewe.
  • Kwa hiyo Hilo jina liko kwenye database ya NIDA?, Kwa hiyo kwenye database ya NIDA tukiingia tutakuta jina lako la Freyzem, Kwa kusema kuwa Hilo jina unalo peke Yako? Hiyo bado ni ID fake bado Wenye ID zao original ni kama kina Pasco Mayala, Kina Zitto Kabwe,nk ambao wametumia majina Yao full sio wewe unayejificha Nyumba ya ID na kujifanya una akili kumbe umesoma TIA
 
So kama aliyeleta mada ya asset na liability amenywea kwa kutambua sina akili kama yeye...(maana ametambua yeye ni kihiyo na zwazwa kwa kuleta mada mpya sehemu isiyostahili) wewe unaendelea kushupazia shingo kitu gani kama wewe si taahira na mpumbavu?

Umeone ujitetee kwa kukosa hoja kusema sijui hawezi bishana na watu wa IFM...sawa!

Wewe si zao la Teku? Kama unabisha leta vielelezo hapa!

Kuhusu suala la ID nimeshalimaliza, hiyo yako unayotumia kwa kuiga nimekuuliza kama unajua undani wake, na nina uhakika lazima utakuwa na tabia za huyo mwenye hilo jina unalotumia kama ID yako hapa!!
Pole sana!
 
  • wewe ndiye taahira na Mpumbavu Kwa sababu, unashindwa kujibu hoja unajikita kwenye mambo ambayo hujaulizwa,
  • ndiyo kakuona Huna Maana
  • Mimi nimesoma Nairobi, University of Nairobi sijasoma kwenye Vyuo vikuu vyenu vya Tanzania, Mimi sio Level Yako, Kwa hiyo unataka Nilete vyeti vyangu hapa vya UoN?
-Suala la ID umelimaliza kwa upande wako lakini kwa upande wangu naona hujajibu chochote zaidi ya kuleta hoja 'taka taka'
-database ya NIDA Huwa hainaga jina moja, acha Ujinga wako
-
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
We unajua maana ya kipanga kweli??2[emoji16]kina nick mbishi na rayvanny ndo vipanga wenyewe sasa
 
Umaarufu ni mzigo..ayani imagine watu wanadukua mpk matokeo wakuone tuu
 
Ndio shida zetu watu weusi..COMPARISON & JUDGING.. " huyu ana akili, huyu hana", "huyu yuko hiv, huyu yuko vile".
What is this all for??
How does this help ?

End of a day u need to avail something on table for your loved ones regardless u had 1 or 0.
Nchi ngumu sana hii watu huangalia matokeo na sio sababu ya hayo matokeo lakini pia maisha baada ya hayo matokeo
Kimsingi kafanikiwa kujiajiri na kuajiri wengine kuliko angekaa kulaumu serikali kwa kushindwa kumpa ajira
 
Back
Top Bottom