mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mkuu hizi theories watu wanazifuatisha sana na Bado inagoma.Mimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?
2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.
3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.
4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.
Wewe unafikir kabla ya kuanza biashara wateja utawajuaje,utawezaje kutofautisha Kati ya wateja na wapita njia,kwa sababu hata wapita njia pia huwa wananunua bidhaa au huduma.