Kumbe biashara ngumu sana

Kumbe biashara ngumu sana

Mimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?

2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.

3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.

4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.
Mkuu hizi theories watu wanazifuatisha sana na Bado inagoma.
Wewe unafikir kabla ya kuanza biashara wateja utawajuaje,utawezaje kutofautisha Kati ya wateja na wapita njia,kwa sababu hata wapita njia pia huwa wananunua bidhaa au huduma.
 
Na hapo ndiyo penyewe mteja ni yule anayetoka nyumbani akiwa na mahesabu ya kuja kwako kununua bidhaa au huduma saa nyingine utafute wateja nje ya barabarani yani umwandae toka nyumbani, wa barabani nao ni wateja lakini inategemea na biashara mfano machinga, muuza matunda, muuza chakula jikoni unapata na wa barabani lakini ukiwa muuza magari, muuza mabati, cements, nondo, rangi, muuza mbao, muuza nguo za harusi kupata wa barabarani Ni nadra Kaka au amna kabisaa, na uchumi ulivo sasa hivi watanzania wengi wa kipato haba wana nyota ya 500 jero tu so uza bidhaa za bei chee au kama barkheresa au moo wanavouza juisi za 500, 600 maana wanajua watz wanatembeleana hizo nyota.
 
Theories za makaratasii siyo zote hazifai ukizitumia vizuri wapo waliozitumia wakapata pesa wakafulia lazima waseme maisha magumu.
Imagine mtu unamuona anafanya kazi tangu na tangu kaanzia mwaka 1994 mpaka leo na yuko vile vile maisha yake ya kuuza mkate, vocha ni Yale Yale kama yeye ni konda au mpiga debe ndio yule yule hajabadilika na alipo panga ni kule kule kwa mzee Said mtaa wa mnarani 😂😂😂 afu sasa ukikaaa naye ukipiga stori anakuambia kuna kipindi nilikuwa napiga pesa acha tu ila nikaoaga mke akanipa presha au kuna kipindi nilikuwa nalewa sana Hadi nikaachana na mke, sasa kaka siunaweza ukapima mwenyewe maji na unga kipi kimezidi ukaleta majibu.

Come on guys ukiwa na uzima hakuna lisilowezekana.
Mchawi wa pesa ni fursa.
 
Na hapo ndiyo penyewe mteja ni yule anayetoka nyumbani akiwa na mahesabu ya kuja kwako kununua bidhaa au huduma saa nyingine utafute wateja nje ya barabarani yani umwandae toka nyumbani, wa barabani nao ni wateja lakini inategemea na biashara mfano machinga, muuza matunda, muuza chakula jikoni unapata na wa barabani lakini ukiwa muuza magari, muuza mabati, cements, nondo, rangi, muuza mbao, muuza nguo za harusi kupata wa barabarani Ni nadra Kaka au amna kabisaa, na uchumi ulivo sasa hivi watanzania wengi wa kipato haba wana nyota ya 500 jero tu so uza bidhaa za bei chee au kama barkheresa au moo wanavouza juisi za 500, 600 maana wanajua watz wanatembeleana hizo nyota.
Mkuu umejitahidi kuelezea vzr lkn bado hujamaliza kiu yangu ya maswali.
Yaani assume Sasa nimeanzisha duka la kuuza soda na vyakula rejareja.
Sasa hao watu au wateja wa kukuhakikishia kwa asilimia 100 kwamba lazima waje kununua dukani kwangu unawajuaje au unawapataje?
 
Wewe unataka waje wangapi umalize bidhaa kuliko wengine na uwapangishe foleni kama wapiga kura au unatakaje boss ?

maana wateja wa duka lako sikufichi inategemea na location au mahali, biashara nzuri inaendana na location je watu wapo hapo na je vipato vyao vinamudu bidhaa zako na pia wanahitaji bidhaa zako?.
 
Ndio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
 
Ebu fanya kuzingatia location na ujue jinsi ya kuweka saving tuone kama utateseka
 
Ndio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
Customer care,lugha nzuri,uchangamfu etc
 
Location-je mtaa unaotaka kuweka mfano duka kuna watu wa aina gani,mfano singlemother wengi,kuna watoto wengi wadogo,wanafunzi,hapo ujue utauza sana nape,pampaz,pencial,daftari,vyakula vya kupima mfano sembe,mafuta,mchele,juice,soda etc,
mtaa una mabrotherman,sistadu wengi,watumishi wa maofisini etc,utauza vyakula,vinywaji,perfume,lotion kalikali,vitu vya fasheni mfano viatu,nguo etc
 
Na Kama watu hawaji kununua hyo customer care utamfanyia nani au itaifanya muda gani?
unatakiwa umuwini customer mmoja baada ya mwingine,hatua kwa hatua,hawaji kwa mkupuo utakaempata hakikisha humpotezi,mchangamkie ili kujenga ukaribu nae,hakikisha uwe na lugha nzuri ili watu wavutike na warudi kwako mara kwa mara,hiyo ina apply kwa kila biashara,palipo na watu lazima mahitaji yawepo,so waelewe watu wa eneo husika na range ya vipato vyao ili utoe huduma kulingana na vipato vya watu wa eneo husika
 
Ndio maana mkuu nikatoa mfano wa duka la vyakula kwa maana unga,maharage na mchele vikiwemo ambavyo karibu kila Mtanzania anatumia hivyo.
Na unafungua kwenye location ya watu wengi na bado mtu anafeli.
Ndio maana nikakuuliza kuhusu hyo formula ambayo inakuthibitishia kwamba watu fulani lazima wawe wateja wako.
Tembea na hii chief

Passion + humble + time = business
 
unatakiwa umuwini customer mmoja baada ya mwingine,hatua kwa hatua,hawaji kwa mkupuo utakaempata hakikisha humpotezi,mchangamkie ili kujenga ukaribu nae,hakikisha uwe na lugha nzuri ili watu wavutike na warudi kwako mara kwa mara,hiyo ina apply kwa kila biashara,palipo na watu lazima mahitaji yawepo,so waelewe watu wa eneo husika na range ya vipato vyao ili utoe huduma kulingana na vipato vya watu wa eneo husika
At least umeeleweka by 50%
 
Back
Top Bottom