Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

Biashara kwenye daftari rahisi sana kila mtu anaweza kutoboa, ingia front sasa... Ukutane na tozo za barabarani, ushuru wa mazao, usafirishaji, kodi. Mhindi wa 150 unasimama 600,bado vibarua wa kupakia na kupakua+stoo ya kuhifadhia, mlinzi wa stoo, toa garama za yaliyoharibika.

Achana na biashara za kwenye makaratasi, utapigwa bure.
 
Kumbe!! Ninaona mtu yupo bussy juani anachoma mahindi! Kazi ni kazi, ndio kujiajiri hivyo.
 
Hiyo ni paper work, ingia kwa ground sasa.
 
Wamasai wanauza ng'ombe mmoja kwa shilingi 100000.

Mshikaki wa nyama ya ngombe unauzwa shilingi 500.

Ukiuza mishikaki 100000 kwa ng'ombe mmoja unapata faida ya millioni 49.9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom