Yana jichoma yenyewe! Na pia yanajisafirisha yenyewe toka huko anapoyachukuwa!πMkaa unakunya?!
Ziba mackio then jilipue utapata jibu la nadharia na utendaji kazi [emoji16]Mnakatisha tamaa kishenzi aise[emoji16][emoji16]
Ana bahati yupo mbali. Ningempiga kofi la mdomoYana jichoma yenyewe! Na pia yanajisafirisha yenyewe toka huko anapoyachukuwa!π
Hata mimi, mpuuzi sana huyu dogoAna bahati yupo mbali. Ningempiga kofi la mdomo
Motivational sneakers
ππwacha bhanaI raik zis leti mi trai zis
Tunapoteza bure muda sasa hivi tungekua tunauza zetu mahindi na mrembo wangu Chakoriiππwacha bhana
Na eneo atakalofanyia hiyo biashara pia ni la urithi.Anavikojoa
π€£π€£π€£π€£Wamasai wanauza ng'ombe mmoja kwa shilingi 100000.
Mshikaki wa nyama ya ngombe unauzwa shilingi 500.
Ukiuza mishikaki 100000 kwa ng'ombe mmoja unapata faida ya millioni 49.9
Huyu ng'ombe amekaaje mkuu?Wamasai wanauza ng'ombe mmoja kwa shilingi 100000...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]Wamasai wanauza ng'ombe mmoja kwa shilingi 100000.
Mshikaki wa nyama ya ngombe unauzwa shilingi 500.
Ukiuza mishikaki 100000 kwa ng'ombe mmoja unapata faida ya millioni 49.9