Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
- Thread starter
-
- #81
Hapo nani kapigiwa chepuo Mzee, Punguza wenge maneno ya Mwl yanaishi kama vile bishana naeHuu uzi mwazoni sikuw nimeuelewa ila baada ya kuurudia vizuri nimeon vile vi-ID vinavyolipwa na Kafulila kuja kupigia debe utapeli wake.
Niwaambie tu siku zote ukiona mkataba unapigiwa sana kelele ufanywe siri jua siku moja ukweli utajulikana.
Leo nchi ina viporo vya kutosha ICSID kwa sababu ya wajinga wachache kutokana na maslahi ya matumbo yao.
Rushwa ipo kila sehemuTatizo rushwa.......
Ni wapi PPP haijaonesha transparency?So what ? Kila kitu kinahitaji na kinategemea mazingira na kama kuna transparency hakuna kitu kitafanya vibaya..., ngoja nikupe mfano wa PPPs katika uhalisia na ubora wake..., mfano kuna shida ya usafiri wa kwenda huko kijijini..., Serikali haina pesa wala mpango wa kutengeneza hio Barabara anakuja mtu binafsi anasema mimi hapa naweza kujenga barabara na mapato ya kupita hapa takuwa nachukua kama faida kwa miaka thelasini baada ya hapo barabara inakuwa ya serikali (Serikali inatoa ardhi ambayo ingeendelea kuwa pori ila after 30 years inakuwa yake) na mtu anapata faida kulingana na alivyoona kwamba kuna need....
Ila uhalisia kwa Afrika na kwingineko watu wanaingia mikataba ya ajabu na hata jambo ambalo Serikali ingeweza kufanya au ilikuwa inafanya mtu anakopea hio asset ya serikali na anafanya (mwisho wa siku akipata hasara au ikienda ndivyo sivyo anapewa ruzuku kwa kodi ya serikali ili aendelee kula) au mradi unakuwa white elephant wenye madeni unaishia kupigwa mnada kwa bei ndogo na walewale wananunua..., In short PPPs ina loopholes kibao za upigaji
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com
Mwalimu Nyerere hakumtabiri mla rushwa kumpigia chapuo.Nadhani sio lazima awe yeye katika kuwekeza ila Mwl Nyerere alimtabiri
Nani amethibitisha hoja ya rushwa kwa Adani?Mwalimu Nyerere hakumtabiri mla rushwa kumpigia chapuo.
Ukitaka kuongelea wafanya biashara binafsi sema hilo, ukimtaja Adani ushachafua hoja yako kwa sababu Adani ana doa la rushwa.
Hivi unajua hata unachoongelea ? Ukishaweka watu Binafsi / Sekta Binafsi hakuna tena transparency wala uwezo wa serikali kuchunguza nitty gritty (kuna vitu vinafichwa kwa mgongo wa siri zao za kibiashara) hio ndio moja ya loopholes....Ni wapi PPP haijaonesha transparency?
Unataka kushauri Nini?
Sio Siri Adani anajulikana kwa kutoa Mlungula hilo lipo wazi na sio Adani tu Kampuni nyingi duniani zinafanya hivyo hata sakata la RADA na BAE au BAE na nchi za Kiarabu Mlungula wa kufa mtu ulitoka..., Ingawa hio sio issue sana hapa ila tujiulize huyu Dalali anafanya hivyo sababu Mikataba ina umuhimu kwa nchi au anafanya hivyo kwa Mlungula aliopewa (kama amepewa)..., Sababu tunajua kuhusu suala la Sekta ya UMEME ADANI amefanya worse kwa nchi husika (refer Bangladesh)Nani amethibitisha hoja ya rushwa kwa Adani?
Nani amethibitisha hoja ya rushwa kwa Adani?
Kwa hiyo hata Kilwa na Ukerewe wasio wazawa wakinyanyaswa ni sawa kwa kuwa visiwa ni vidogo?Zanzibar ardhi ni ndogo
Iko hivyo kwenye visiwa vyote duniani
Huwezi kunielewa sababu mimi siko programmed kama bots.Hapo nani kapigiwa chepuo Mzee, Punguza wenge maneno ya Mwl yanaishi kama vile bishana nae
Hii ni irreverent kabisaHivi unajua hata unachoongelea ? Ukishaweka watu Binafsi / Sekta Binafsi hakuna tena transparency wala uwezo wa serikali kuchunguza nitty gritty (kuna vitu vinafichwa kwa mgongo wa siri zao za kibiashara) hio ndio moja ya loopholes....
- PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”
- “In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”
- Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
- A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.
- Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs.
Kil kitumapongHuwezi kunielewa sababu mimi siko programmed kama bots.
Nyie fuateni maagizo mpate kula mimi sipo hizo level.
Umeulizia kama PPPs kuna transparent nimekujibu iwapo kuna Private Sector hapawezi pakawa na uwazi kama ni mali ya state na pili nimekuonyesha katika hayo maficho ndio hizo loopholes nimekuwekea sasa unataka nini zaidiHii ni irreverent kabisa
Hapa umeanza kujichanganya
Ni jambo zuri lakini utekelezaji wake sasa, utasikia wabia hao hao ni wanasiasa hao hao nyuma ya migongo ya wafanyabiashara wa asia wakitumia pesa ya serikali hiyo hiyo yenyewe, kushirikiana kwa miradi hiyo hiyo. Yani wanasiasa wataingia ubia na serikali, na kuwekeza pesa ya serikali wale percent huku in reality watakuwa hawajawekeza kitu.Wanaopinga Ubia wengi wao ni wapigaji nia yao miradi ibaki serikalini ili waendelee kutupiga😂😂
Ova!
Umeitumia vibaya hiyo clip.View attachment 3169359
Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.
Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.
Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.
Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.
Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Alikuwa raisi for more than 20yrs,Lakini walau alitambua ukweli wa mambo
Unataka nisikilize mara ngapi?Atajwe wapi? Msikilize Mwl vizuri amewataja