Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Million 200 per month endorsement tu bila show wala mauzo ya muziki kwenye platforms so minimum 400 per month halafu ni mwaka wa 5 kama sikosei tunazungumzia kununua Roll Royce (RR) million 950 na hatujaweza
 
Pesa ya kununua RR kanunua hotel 🏨 fatilia interview yake wasafi fm kwa majibu zaid, yote yanayo ulizwa huku jukwaani amejibu vizuri tu
 
Mr. Nice alikuja kufanya fujo show ya watu Jolly Club, Upanga enzi hizo. Jamaa wanafanya show live yeye akawaletea mazereu, ikabidi majibizano yaanze, Mr. Nice akatangaza, kama wewe ni demu na umevaa pedo, kula bia. Malaya wote wa Jolly Club wakalipuka Fagilia waa waa. Alizungukwa na machangu kama 30 hivi. Mimi niwaambie ndugu zangu, ile sio discipline ya pesa, lazima ulosti. Kama unataka pesa zako zikusaidie baadae, usizivuruge.
Alikuja kuishia akienda bar akinywa anasepa
Au akikuta anaomba umnunulie bia[emoji23][emoji23]
Kwa wakati wake alipovuma alichezea shilingi chooni

Ova
 
Yule jamaa alikuwa anagawa bia kwa watu sijui atauficha wapi uso wake kama maisha yamefikia kubangaiza bangaiza
Alipanga nyumba moja kijitonyama kna wakati alihojiwa akadai nyumba ile yake mwishoni wakamtoa pale

Ova
 
Juzi kasema ukipata view one million YouTube bas unapata around 900K up to 1000K , video ya waah ina view 37Mil , IT wao karopoka imeingiza 90 Mil mpak sasa , jamaa wamekaa kiongo ongo sana
Maelezo yote yanaweza kuwa sahihi. Usisahau kwamba thamani ya views na yenyewe inategemea na origin ya views. Kwa mujibu wa YouTube Manager, alinukuliwa akisema source kubwa ya YouTube Audience ya Mond ni Kenya, Uganda, Tanzania na US. Kwavile Waah amemshikirisha Koffi Olomide, bila shaka kavuna views wapya kutoka Francophone na hata France na Belgium. Kwa maana nyingine, kama atakuwa alipata views wa kutoka France na Belgium, usishangae kuona Waah ikawa imetengeneza pesa nyingi sana tofauti na maelezo ya Diamond kwa sababu views wa US, Europe na Ethiopia ndo wenye mpunga mkubwa. Na hata hiyo 900K to 1M ni kwa sababu huwa anapata views wa mataifa mbalimbali lakini kwa mtu anayetegemea Views wa TZ peke yake au labda East Africa hata hiyo 900K per 1 M Views itakuwa ngumu sana kupata.
 
Sijawahi sikia matajiri wa ukweli wakitamba na utajiri wao na kutaja fedha wanazoingiza kwa mwezi n.k.

Sasa hili analifanya Nasibu tuchukulie ni ukumbukeni au kitu gani?
Tulia mdau anachokifanya ndicho mashabiki wake ndio wanaotaka...
 
Hata Mimi nampango niwe naingiza 1200 kila lisaa
 
Million 200 per month endorsement tu bila show wala mauzo ya muziki kwenye platforms so minimum 400 per month halafu ni mwaka wa 5 kama sikosei tunazungumzia kununua Roll Royce (RR) million 950 na hatujaweza
Amenunua sasa.
Bado unachongoa domo lako?
 
Back
Top Bottom