Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Mr Nice hakuwahi ku invest hivyo mfano wake hauko valid, alikuwa na endorsements zipi? Je alikuwa na streamings kwenye digital platforms.MTU anayelipwa mshahara wa senior officer ana uhakika wa muendelezo wa maisha mazuri kuliko hawa wasanii wakubwa wa bongo wanaopata hela nyingi at their peak. Mr Nice na wengineo ukirudi nyuma
Nyimbo zake CDs zilitajirisha wahindi na zaidi ya hapo alitegemea shows, wajanja wa enzi hizo waliokuwa na discipline ya fedha kama Jide at least wanaishi maisha normal.
Hivyo mifano isitafutwe ya failures tu, si lazima mtu aporomoke japo inawezekana.
Discipline ya fedha na kuwekeza japo na kuwekeza kunaweza kukuangusha kwani kuna makampuni mengi ambayo hufilisika kwa kuwa na wrong strategies za kibiashara.