Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

MTU anayelipwa mshahara wa senior officer ana uhakika wa muendelezo wa maisha mazuri kuliko hawa wasanii wakubwa wa bongo wanaopata hela nyingi at their peak. Mr Nice na wengineo ukirudi nyuma
Mr Nice hakuwahi ku invest hivyo mfano wake hauko valid, alikuwa na endorsements zipi? Je alikuwa na streamings kwenye digital platforms.
Nyimbo zake CDs zilitajirisha wahindi na zaidi ya hapo alitegemea shows, wajanja wa enzi hizo waliokuwa na discipline ya fedha kama Jide at least wanaishi maisha normal.
Hivyo mifano isitafutwe ya failures tu, si lazima mtu aporomoke japo inawezekana.
Discipline ya fedha na kuwekeza japo na kuwekeza kunaweza kukuangusha kwani kuna makampuni mengi ambayo hufilisika kwa kuwa na wrong strategies za kibiashara.
 
Mkuu kweli wewe haujui kitu ,una uhakika magari ni yake? Hivi unawajua wasaniii kweli wewe? Achana na tantalila za wasanii.
Hahahhaa wewe sio bure utakuwa unatujua vizuri mno maigizo yetu ,watu wajue tu ,kuna maisha ya msanii akiwa kwenye public ambayo mara nyingi it's exaggerated or fake at all na maisha halisi au ya ukweli ,
 
Why kanunua rr secondhand



Mimi mpaka sitaamini kama bongo flava inalipa hawa watu wana biashara zao pembeni zinazowaingizia pesa....izi biashara ni zile zinazojulikana na zisizojulikana
 
halafu ukaamini!!!!!

jinga
 
Makampuni yanayompa mikataba ya matangazo ndio yanatotakiwa ku-withhold hiyo kodi, ndio maana ana Jeuri ya kuzungumza hadharani kwasababu jukumu la kupeleka kodi TRA ni la makampuni yanayompa mikataba
halafu kuna wajinga wamekupa likes 10

kama haujui kodi kaa kimya

hatoi receipt za EFD???

halipi corporate tax??
 
6000 per second,300000 per hour,7mil per day,more than 50 mil per week and 200mil per month.

Nb : all money in Tanzanian shillings.
Sasa hata kama ni tanzanian shillings mshahara wa $85,000 kwa mwezi ni mdogo huo? Hata raisi wenu wa CCM hakunji hio hela!
 

Mbona Juma nature,Gangwe Mob,Rich one,Mh Temba,Sister P,Zey B haikuwalipa na walianza bongo fleva kabla Mond hajatoa hata single moja?
Mpaka kufikia kulipwa 200M kwa mwezi,Mond amewekeza sana kwenye mziki wake,kupitia strategies kubwa,ameweza Kufika hapo,
Kuimba peke yake haitoshi,wapo watu wanaimba zaidi ya Mond,lakini hawapati hata robo ya hiyo anayopata Mond,
Inategemea management strategy,connections kubwa,unakuza jina/bland yako then pesa inaanza kukutafuta
 
Hivi kununulia watu bia ndio ilikuwa SI unit ya kuwa una hela ama? Hii tabia walikuwa nayo wachaga wengi enzi hizo
 
halafu kuna wajinga wamekupa likes 10

kama haujui kodi kaa kimya

hatoi receipt za EFD???

halipi corporate tax??
Hiyo Corporate tax wanakata kwenye faida, sasa unawapelekeaje TRA kwamba umepata faida kwa mfano
 
Mkwe wangu alistaafu mwaka jana na alikua senior officer serikalini akaramba mafao ya mil 500
Hii ni sawa na miezi miwili tu ya huyu chizi
Kweli maisha hayajawahi kuwa fair
sasa uchizi wake upi? au ndo chuki binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…