Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.

Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.

Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.

Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.
 
Bwawa la Ethiopia lime cost wafadhiri $0.6bn I.e $600m + environment costs and risk kwa miaka 50 litawarudishia $500m minus operational cost, ni kama $300m, hiyo biashara haifae bora ununue umeme kuliko kutengeneza bwawa.

Ni lazima uwandike!!... U GT huwezi kuwa kabisa humu..

Yote hayo hata wangepata dola moja.. umeme wupo au hawupo????
 
Bwawa la Ethiopia lime cost wafadhiri $0.6bn I.e $600m + environment costs and risk kwa miaka 50 litawarudishia $500m minus operational cost, ni kama $300m, hiyo biashara haifae bora ununue umeme kuliko kutengeneza bwawa.
Sina uhakika na hizi figures zako hasa kutokana na umeme wa maji kuwa na low costs za uzalishaji, lets assume ni kweli
1. Ethiopia inapunguza matumizi ya fedha zake kama ingeamua kununua umeme
2. Bwawa limetengeneza ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja
3. Mnyororo wake wa kuuza na kununua vitu, itaboost sekta nyingi
4. Ethiopia inajipatia fedha za kigeni kwa kuuza umeme nje ya nchi. Mfano Kenya watatoa $ bilioni 2.5 kwenye mkataba
5. Kuvutia uwekezaji kutokana na uhakika wa umeme na pengine kushuka kwa gharama
6. Etc
 
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.

Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.

Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.

Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.
Mbona hata sisi tutanunua umeme kutoka Ethiopia? Usha jiuliza Zile Njia mpya ya umeme kule Arusha hadi Namanga inaelekea wapi? Kwa kifupi inaenda hadi Ethipia, hivyo Ethiopia watakuwa na uwezo wa kutuuzia umeme Tanzania
 
Pia hata Tanzania itaweza kuuza umeme kenya, kwa laini hio hio
 
Tofauti iliyopo kati yetu na bwawa la Ethiopia ni vyanzo, wakati sisi tunategemea maji ya mvua yakajaze mito hasa Ruvu ndio maji ya kutosha yapatikane bwawani, Ethiopia chanzo chao ni mto Nile unaoanzia Ziwa Victoria, hawa waliona mbali zaidi.
 
Acha akil za ajabu muwe mnasoma kwanza ! Chanzo cha kutoka ziwa Victoria sicho kilichopo Ethiopia, kule kuna chanzo kingine. Hujui kama kuna blue Nile na White Nile na vyote vinakutana Sudan. Pia chanzo chenye maji mengi ni kile kinachotoka Ethiopia ndo maana Wamisri walipiga kelele sanaa
 
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.

Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.

Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.

Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.
Shida kwenye mradi wetu unategemea maji ya mvua na mito midogo! Hivi vyanzo vinaweza kukauka, kama inavyotokea sasa hivi, maji yemepungua chanzo Cha ruvu, umeme umekuwa shida, Ethiopia wanategemea maji ya mto Nile,kutoka ziwa Victoria! Hiki chanzo hakitakauka, mpaka milele!
 
Sina uhakika na hizi figures zako hasa kutokana na umeme wa maji kuwa na low costs za uzalishaji, lets assume ni kweli
1. Ethiopia inapunguza matumizi ya fedha zake kama ingeamua kununua umeme
2. Bwawa limetengeneza ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja
3. Mnyororo wake wa kuuza na kununua vitu, itaboost sekta nyingi
4. Ethiopia inajipatia fedha za kigeni kwa kuuza umeme nje ya nchi. Mfano Kenya watatoa $ bilioni 2.5 kwenye mkataba
5. Kuvutia uwekezaji kutokana na uhakika wa umeme na pengine kushuka kwa gharama
6. Etc
Hizo ni nadharia leta takwimu hilo bwawa limeajiri watu wangapi, Ethiopia impata wawekezaji wangapi kupitia hilo bwawa?

Jiulize kwanini Kenya inaonunua umeme kutoka Uganda na Ethiapia kwanini mpaka leo imebaki kuwa industrial hub ya Africa mashariki kuliko nchi zenye umeme wawakika
 
Bwawa limejengwa kwa miaka 10 kwa $ billion 5, umeme watakaouza Kenya kwa miaka 25 ni wa $billion 2.5.
Natilia mashaka kama gharama ya fedha, muda na mazingira katika ujenzi pamoja na za uendeshaji wa bwawa zina mashiko au sense. Hii inaweza kuwa biashara kichaa.
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.

Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.

Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.

Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.
 
Wewe unaona $billion 2.5(mapato, sio faida) kwa miaka 25 ni pesa ya maana kupigia vigelegele??
Sina uhakika na hizi figures zako hasa kutokana na umeme wa maji kuwa na low costs za uzalishaji, lets assume ni kweli
1. Ethiopia inapunguza matumizi ya fedha zake kama ingeamua kununua umeme
2. Bwawa limetengeneza ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja
3. Mnyororo wake wa kuuza na kununua vitu, itaboost sekta nyingi
4. Ethiopia inajipatia fedha za kigeni kwa kuuza umeme nje ya nchi. Mfano Kenya watatoa $ bilioni 2.5 kwenye mkataba
5. Kuvutia uwekezaji kutokana na uhakika wa umeme na pengine kushuka kwa gharama
6. Etc
 
Hakuna umeme wowote tunaounua kutoka Ethiopia
Mbona hata sisi tutanunua umeme kutoka Ethiopia? Usha jiuliza Zile Njia mpya ya umeme kule Arusha hadi Namanga inaelekea wapi? Kwa kifupi inaenda hadi Ethipia, hivyo Ethiopia watakuwa na uwezo wa kutuuzia umeme Tanzania
 
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.

Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.

Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.

Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.
Magufuli alipokuja na wazo la bwawa la Nyerere kuna watu walikua wanamtukana humu.
 
Back
Top Bottom