Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.
Kenya wamewahi kwa majirani zao na kufunga mkataba wa miaka 25 kuuziwa megawatts 2000 kwa $ milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mradi huo ulio kwenye chanzo cha mto Nile.
Tanzania pia tumeahidiwa matatizo ya umeme yanaenda kulala usingizi wa pono mwaka 2024-25 ambacho ni kipindi mradi wa bwawa la Nyerere unakamilika.
Hongera kwa wote waliowaza na kupata uthubutu wa kuanza ujenzi bwawa la Nyerere.