Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

ukweli akili zako haziendani na urmi wako, mods wanakuleaga sana inabidi upate ban kwa kudanganya umma
20230305_081123.png
 
Chadema ni chama cha matapeli.

" Msithubutu kuwapa nchi wachaga" JK Nyerere. Aliona mbali Baba wa taifa.
Huu ni ubaguzi, mtu yeyote anaweza kuwa na yake na si lazima iwe ya kabila lote, ingawa kuna utamaduni wa kundi au kabila fulani amba ni common kwa hilo kabila.
Umesahau pia kunukuu onyo la Nyerer 1995 akisema .... tunaingia karne ya 21 ... tunapanda basi la makala (sio exactly wuoted). Wewe unaleta ukabila
 
Naisubiri taarifa rasmi toka Chadema kuhusu hili suala.

Zitto alisema Lema alienda Canada kwasababu alitakiwa afanye hivyo na makampuni ya nje, wakati wote tunajua situation waliyopitia viongozi wa Chadema awamu iliyopita, simuamini.
 
Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
kwamba wewe unaamini kuwa chadema imepokea ruzuku kupitia kikaratas cha ACT waulize hao ACT alipokea lin hio ruzuku chadema, kupitia bank na account ipi waulizen hayo maswali wakijibu unitag.
 
Chadema ni chama cha kitapeli.

Hayo ndio maridhiano waliyokubaliana Samia na mbowe, mbowe alitaka hela, Samia kampa hela sasa mbowe kazi yake ni moja tu kumtukana Magufuli.

Lisu karudi Ubelgiji, Lema kaacha familia yake Canada, Lisu familia yake iko Marekani.

Mbowe usishangae familia yake iko Dubai.

Hao ndio wanataka kutuletea maendeleo. Hii nchi iwapo inawategemea watu kama hao basi hakuna matumaini tena.
na mme wa mamayenu huko ccm yuko wap, matapel ya ccm mmegeuza watu kuwa bodaboda huku huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakiajiriwa BOT
 
Chadema ni chama cha matapeli.

" Msithubutu kuwapa nchi wachaga" JK Nyerere. Aliona mbali Baba wa taifa.
Chadema ni chama cha matapeli kwa sababu kina wanachama/viongozi wachaga?!!! Nyerere alisema wapi hilo unalomsingizia?
Haipendezi mtu kuwa muongo na mzandik.

Amandla...
 
Hii kitu Zitto imemuuma sana had anaifanyia press.
 
Chadema ni chama cha matapeli.

" Msithubutu kuwapa nchi wachaga" JK Nyerere. Aliona mbali Baba wa taifa.
kwamba wale wachaga wanachama wa ccm na wabunge fake kule arusha na kilimanjaro ambao ni wachaga ni wapumbavu kuwa ccm, unamaanisha walitakiwa wawe chadema, ccm ni wapumbavu kama viongoz wenu ndio maana hata reasoning capacity yenu ni ndogo kwa taarifa yenu 2025 msahau kura za wachaga kanda ya kaskazin na huku kanda ya ziwa ccm tutawanyoosha mpaka mtie adabu wapuuz nyinyi.
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
Hiyo barua ya ACT imekaa kiwivu, kiumbea, kikuda na fitna.
-Barua inasema ACT inatoa pongezi kwa Rais Samia kukubali kuhudhuria kongamano la BAWACHA. Sasa BAWACHA wenyewe hawajasema rasmi na Ikulu haijasema rasmi hayo, ACT kimbele mbele chao cha kuwasemea CHADEMA na Ikulu wanakitoa wapi?

-ACT wanasema wanashangazwa na CHADEMA kupewa ruzuku yao. Ruzuku ya CHADEMA inawahusu nini ACT?
 
Sasa wewe ulitaka muwe mnapokea ruzuku kimya kimya huku mkituzuga kuwa hampokei?
Asante ACT kwa kutusaidia kujua unafiki wa chadema 💪
Chadema, please toeni kauli ya kutambua ubunge wa da Halima na wenzake, siyo mnapokea ruzuku za ubunge wao kimya kimya huku mkidanganya kuwa siyo wanachama wenu.
Wewe hujui chochote.

Chama hakipewi ruzuku kwa kuwa kina wabunge wa viti maalum bungeni, bali Chama kinapokea ruzuku kutokana na kura za uchaguzi mkuu uliopita.

-CHADEMA kilitangaza kukataa kupokea ruzuku yote iliyotokana na Uchaguzi mkuu uliopita kwa kuwa ilikataa kuyatambua matokeo yote ya ule uchaguzi.

-Msimamo mwingine wowote utakaotolewa na CHADEMA wa kupokea ruzuku, yatakuwa ni matokeo ya maridhiano. (Maridhiano=Tusameheane+Tupatane)
 
Wabunge wa viti maalumu walipatikana kwa kuangalia kura za kwenye huo uchaguzi. Huwezi kutambua kura na kupokea ruzuku kimya kimya, ukitambua kura ulizopata basi tambua na wabunge uliopata.
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
evidence? weka payment voucher, bank statement and its details etc etc. usilete rubbish from the scam Msirukie mambo bila ushahidi.
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
weka ushahidi.......
 
Chadema ni chama cha kitapeli.

Hayo ndio maridhiano waliyokubaliana Samia na mbowe, mbowe alitaka hela, Samia kampa hela sasa mbowe kazi yake ni moja tu kumtukana Magufuli.

Lisu karudi Ubelgiji, Lema kaacha familia yake Canada, Lisu familia yake iko Marekani.

Mbowe usishangae familia yake iko Dubai.

Hao ndio wanataka kutuletea maendeleo. Hii nchi iwapo inawategemea watu kama hao basi hakuna matumaini tena.

Tuitegemee ccm ambayo imeongoza zaidi ya miaka 60 tangu uhuru huku asilimia kubwa ya wananchi wakiogelea kwenye dimbwi la umasikini, ujinga na maradhi
 
Tuitegemee ccm ambayo imeongoza zaidi ya miaka 60 tangu uhuru huku asilimia kubwa ya wananchi wakiogelea kwenye dimbwi la umasikini, ujinga na maradhi
It's obvious CCM is a failed political party lakini Chadema ni hovyo.

Tanzania ni kama hatuna matumaini ya siku za mbele maana hatuna watu wenye nia ya kutuokoa, unless ije itokee civil unrest.

We are doomed.
 
Act acheni siasa za kudhalilishana sisi Chadema hatuna njaa kiasi hicho yarabi.
 
Back
Top Bottom