Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

Sukuma gang mtazidi kuumia tu kama inawauma sana kuona Chadema na CCM wako in peace kazikwe na JPM. Zile enzi za wapinzani kumiminiwa risasi kisa siasa hazipo Tena ni peace throughout the political class. Poleni sana kwa maumivu
Upo sahihi mkuu, sasa ni zama za wapinzani kujazwa mapesa. 🤣🤣🤣
 
Ruzuku ni hongo? Tunachodebate hapa ni kwamba ruzuku sio halali sababu uchaguzi sio halali ila sio kwamba hiyo ruzuku ni rushwa au ni pesa ya Bure Bure.
Kila la heri endelea kujaza server ya JF kwa mapambio.
 
🤣🤣🤣 Bado unalilia uthibitisho?
Chama chenu cha nyumbani mnakipenda ila ndio uhalisia wao mbele ya pesa wapo tayari kuuza wanachama wao
Tunachotaka sasa ni uthibitisho kuwa wameuza mwanachama kwa ajili ya ruzuku.

Amandla...
 
Yes zimebadilika Hawala yako Magufuli ameshafariki.Automatically things changed
Naona Tundu lissu kaja kumwomba Mama Swala la Ushoga liwe wazi,Singida tayari washaonyesha kwamba limekubalika na bendera ipo juu ya mlingoti.
 
na mme wa mamayenu huko ccm yuko wap, matapel ya ccm mmegeuza watu kuwa bodaboda huku huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakiajiriwa BOT
Hacha ujinga chief,sasa watanzania wote walio soma na wasio soma waaajiliwe BOT?
 
Tunawaambia siasa ni biashara, mnajifanya ohoo sie wanaharaki ohooo sie wazalendo. Hayo ndio maridhiano yalikua yanatafutwa.

Ni lazima ujue maridhiano sio wewe upate huduma nzuri ya maji na umeme, maridhiano ni kugawana kulamba asali.
 
Ruzuku ni halali ya CDM
Unajua makubaliano ndani ya maridhiano ya ccm na cdm?kama hujui basi kaa kimya wewe mwehu!
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.

Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.

Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.

Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
kuweni makini na wanasiasa huwa hawaeleweki na wako ki maslahi zaidi na si kuwatumikia wanannchi.
 
Ruzuku ni halali ya CDM
Unajua makubaliano ndani ya maridhiano ya ccm na cdm?kama hujui basi kaa kimya wewe mwehu!
kama ni halali kwa nn hapo awali waliigomea na kwa nn kwa sasa ni halali na huo uhalali umetokea wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Cha kushangaza Nini si nilisema suala lipo kwenye majadiliano ya maridhiano Sasa kama wameafikiana Kuna shida gani. Kuna mahala nilisema Chadema HAIWEZI pokea au HAITOPOKEA?

Mtateseka sana Sukuma gang Wacha mfundishwe maana ya demokrasia
 
kama ni halali kwa nn hapo awali waliigomea na kwa nn kwa sasa ni halali na huo uhalali umetokea wapi?
Maridhiano yameonyesha Nia njema ya kuleta tume huru na Katiba mpya. Mikutano imerudi, kesi zimefutwa, wafungwa wa kisiasa wameachiwa Sasa ukiendelea kususa ni uwendawazimu maana unataka ufanyiwe Nini uone Nia njema?

Wangepokea bila hatua zozote kufanyiwa kazi tungeona ni unafiki tu.
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.

Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.

Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.

Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
Mbona mumeo anazo taarifa?
 
Back
Top Bottom