Asijulikane
Member
- Feb 15, 2023
- 37
- 44
Hapo na kuelewa sana! Huyu Jamaa anavizia CDM wakosee tu yeye ndo aje ili awaangushe! Hata kutangaza kwake kustaafu 2024, ni ili Mbowe naye atangaze kustaafu akiamini yeye na Washirika wake watapata nafuu!Kwa hiyo lengo la hii press ni nini? Hapo ndio utaona kazi hasa ya ZZK kwa upinzani ni ipi, si kujenga bali kubomoa tangu mwanzo ...
Nakumbuka siku CDM walipotangaza UKUTA, malumbano yalipo pamba moto na polisi, yeye akaibuka na kusema wao kama chama wanasubiri kwenda kuchangia damu kwa majeruhi Muhimbili!
Ktk hili ameona mikutano ya CDM umepamba moto, yeye haangalii hamasa ya Watanzania kutaka mabadiliko kupitia CDM, yeye kuamua kufanya biashara kwa maslahi yake ili CDM ianguke, watu waondoe imani yao kwa CDM ili yeye abaki na washirika wake!
Nadhani huyu anafaa atangazwe adui wa madiliko kwa Watanzania hadi hapo atakapobadilike!