Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

Il
ACT 🤣🤣🤣yaan utafikiri CDM wamewachukulia mke asee!!!
 
Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
Kama ile kauli ya wazir wa mamb ya ndani enzi za awamu ya tano 🤣🤣🤣ilibid apraise mamb za upinde ili wasikose pesa toka kwa mabeberu 🤣🤣🤣!!
 
Attachments

  • IMG_20230303_161807.jpg
    76.6 KB · Views: 1
Walikuwa na ugomvi na JPM sio demokrasia. Wananchi kuweni makini, mkisikia wanasiasa wanalia sana ujue aliye madarakani anafanya kazi!

Mkiona wametulia huku wakipiga porojo za hapa na pale kuzuga bado wapo huku wanaimba mapambio mjue mnapigwa!

Chadema hii ipo very compromised! Hili huwezi kuona kama ni mfia vyama.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Uzuri watu washamjua project yake
 
Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
Kwamba ni vigeugeu; watu wasioaminika, wasioasimamia wanachokiamini. Ukisikia wanasema jambo, lichukulie kuwa hawaamini wakisemacho.

Hawa hata kukuuza au kuliuza taifa huku wakicheka ni halali kwao.
 
LOooh!
Mambo yamekuwa mengi sasa.
Na wao wanatafuta kupewa "kamba" za kushiriki katika kuinajisi Tanzania!
 
Chadema hawapokei ruzuku mkuu, na Hilo suala lilijadiliwa kwenye maridhiano.
Punguza kujifanya unaijua Chadema. Wewe ni shabiki tu wa mitandaoni hujui lolote umejaa upofu wa mahaba. Wewe ni mtaji wa wanasiasa wapigaji. Haya sasa anza kuimba nyimbo za kusifia utamu wa ruzuku.
 
You're hundred percent right.
 
evidence? weka payment voucher, bank statement and its details etc etc. usilete rubbish from the scam Msirukie mambo bila ushahidi.
Bado unataka evidence?
 
Compromised kisa Nini? Wamepewa mikutano, wamepewa lifeline ya katiba Sasa unataka wakatae? Yaani kwanini uwe na ugomvi na mtu ambaye amekua positive kwa demokrasia?
 
Kwanza thibitisha kuwa wamepokea hiyo ruzuku maana sio mara ya kwanza kuambiwa na wqpinzani wao kuwa wanapokea ruzuku.

Amandla...
🤣🤣🤣 Bado unalilia uthibitisho?
Chama chenu cha nyumbani mnakipenda ila ndio uhalisia wao mbele ya pesa wapo tayari kuuza wanachama wao
 
Punguza kujifanya unaijua Chadema. Wewe ni shabiki tu wa mitandaoni hujui lolote umejaa upofu wa mahaba. Wewe ni mtaji wa wanasiasa wapigaji. Haya sasa anza kuimba nyimbo za kusifia utamu wa ruzuku.
Hiyo barua ni feki, Chadema haijawahi pokea ruzuku ya 800 million plus na hiyo ni FACT. Kanionyeshe hiyo barua ni wapi imeandikwa kwenye page ya ACT? Tunapinga disinformation otherwise tutakua na taifa la ajabu sana.
 
Haya sasa kaandika migazeti yako mirefu kusifia upokeaji wa ruzuku ndio kitu pekee unachotakiwa kufanya hauna lolote unajua kuhusu Chadema.
 
Haya sasa kaandika migazeti yako mirefu kusifia upokeaji wa ruzuku ndio kitu pekee unachotakiwa kufanya hauna lolote unajua kuhusu Chadema.
Sukuma gang mtazidi kuumia tu kama inawauma sana kuona Chadema na CCM wako in peace kazikwe na JPM. Zile enzi za wapinzani kumiminiwa risasi kisa siasa hazipo Tena ni peace throughout the political class. Poleni sana kwa maumivu
 
Kwa hiyo lengo la hii press ni nini? Hapo ndio utaona kazi hasa ya ZZK kwa upinzani ni ipi, si kujenga bali kubomoa tangu mwanzo ...
Mle matapishi halafu Zito alaumiwe, pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…