Upo sahihi mkuu, sasa ni zama za wapinzani kujazwa mapesa. 🤣🤣🤣Sukuma gang mtazidi kuumia tu kama inawauma sana kuona Chadema na CCM wako in peace kazikwe na JPM. Zile enzi za wapinzani kumiminiwa risasi kisa siasa hazipo Tena ni peace throughout the political class. Poleni sana kwa maumivu
Kwani wanahongwa au ni kwa mujibu wa katiba?Upo sahihi mkuu, sasa ni zama za wapinzani kujazwa mapesa. 🤣🤣🤣
Ruzuku ni hongo? Tunachodebate hapa ni kwamba ruzuku sio halali sababu uchaguzi sio halali ila sio kwamba hiyo ruzuku ni rushwa au ni pesa ya Bure Bure.Wanahongwa.
Tunachotaka sasa ni uthibitisho kuwa wameuza mwanachama kwa ajili ya ruzuku.🤣🤣🤣 Bado unalilia uthibitisho?
Chama chenu cha nyumbani mnakipenda ila ndio uhalisia wao mbele ya pesa wapo tayari kuuza wanachama wao
Naona Tundu lissu kaja kumwomba Mama Swala la Ushoga liwe wazi,Singida tayari washaonyesha kwamba limekubalika na bendera ipo juu ya mlingoti.Yes zimebadilika Hawala yako Magufuli ameshafariki.Automatically things changed
Hacha ujinga chief,sasa watanzania wote walio soma na wasio soma waaajiliwe BOT?na mme wa mamayenu huko ccm yuko wap, matapel ya ccm mmegeuza watu kuwa bodaboda huku huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakiajiriwa BOT
Mbowe anajivunia sana kuwa na wafuasi wajinga kiasi hikiAct acheni siasa za kudhalilishana sisi Chadema hatuna njaa kiasi hicho yarabi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Chadema hawapokei ruzuku mkuu, na Hilo suala lilijadiliwa kwenye maridhiano.
kuweni makini na wanasiasa huwa hawaeleweki na wako ki maslahi zaidi na si kuwatumikia wanannchi.Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.
Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.
View attachment 2537619
kama ni halali kwa nn hapo awali waliigomea na kwa nn kwa sasa ni halali na huo uhalali umetokea wapi?Ruzuku ni halali ya CDM
Unajua makubaliano ndani ya maridhiano ya ccm na cdm?kama hujui basi kaa kimya wewe mwehu!
Cha kushangaza Nini si nilisema suala lipo kwenye majadiliano ya maridhiano Sasa kama wameafikiana Kuna shida gani. Kuna mahala nilisema Chadema HAIWEZI pokea au HAITOPOKEA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Maridhiano yameonyesha Nia njema ya kuleta tume huru na Katiba mpya. Mikutano imerudi, kesi zimefutwa, wafungwa wa kisiasa wameachiwa Sasa ukiendelea kususa ni uwendawazimu maana unataka ufanyiwe Nini uone Nia njema?kama ni halali kwa nn hapo awali waliigomea na kwa nn kwa sasa ni halali na huo uhalali umetokea wapi?
Mbona mumeo anazo taarifa?Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.
Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.
View attachment 2537619
Ujinga ni kuabudu maiti.Mbowe anajivunia sana kuwa na wafuasi wajinga kiasi hiki