Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hili jina Diamond linamilikiwa na huyu Naseeb?Sasa zingeitwa "Kusaga karanga" nani angenunua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jina Diamond linamilikiwa na huyu Naseeb?Sasa zingeitwa "Kusaga karanga" nani angenunua?
Ulinunuwa kwa sababu ya jina au kwa sababu ya utamu wa hizo karanga zenyewe?Lini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Safi sana, sijawi kuona akisema ni mali yake, all in all anapata pesa ndefu kwa kuwapa brand yakeLini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mzee baba ile kitu haina muamana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mzee baba ile kitu haina muamana
Ulinunuwa kwa sababu ya jina au kwa sababu ya utamu wa hizo karanga zenyewe?
Dada uko vizuri tupe ubuyu tupe ubuyuMkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.
Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media kwenye 'makos wake'. Dismond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite
Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
mkuu mbona Tz kun Tv stations nyingi inakuwaje uanzishwaji wa WCB TV iwe insu sana kwa akina ruge?Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.
Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media kwenye 'makos wake'. Dismond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite
Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili