Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Lini alitamka au kuandika ni mali yake?

Mbona inajulikana kuwa anacuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..

Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..

Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Ulinunuwa kwa sababu ya jina au kwa sababu ya utamu wa hizo karanga zenyewe?
 
Safi sana, sijawi kuona akisema ni mali yake, all in all anapata pesa ndefu kwa kuwapa brand yake
 
Binafsi sipendi kuongelea watu na mambo ya wasanii lakini hili limenigusa sana sana.

Kama mnakumbuka namna mr Nice alivyokuwa akiishi maisha ya kuigiza,steven kanumba hivyo ivyo pamoja na wasanii wengine sikuua kama msanii mahiri kama Diamond akiingizwa katika ujinga huo huo na wasaka pesa.

Kutokana na ugomvi wa chini chini baina ya kundi la WCB na Clouds media hasa chanzo kikiwa ni mradi wa redio na tv..sasa akina kusaga wameweka wazi kuwa zile Karanga za Diamond Karanga ni mali ya kampuni ya Clouds na Diamond ni balozi tu.

Nimeumia sana,maana nimekuwa nikimuona diamond kama kijana anayesaka fursa licha ya kutokuwa na elimu ya kutosha.

Namuomba diamond afanye yake atatoboa badala ya maisha ya show.

--------------------\
 
Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand hizi karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka, wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yao yote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yote.

31e3d4a410fbf2fdb9d2ce46cfe39456.jpg

Ni kwamba Kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.

Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuu.

Jamani kubalini matokeo na ukweli kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasanii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasanii wetu.

Huyu kijana anafake sana life.
 
Nimewahi kusikia hii ishu.....
Kama ni kweli basi Diamond achukue Maamuzi Magumu...
 
Ulinunuwa kwa sababu ya jina au kwa sababu ya utamu wa hizo karanga zenyewe?

Karanga zenyewe..

Za karibia kufanana na zile za madukani kwa wahindi Ulaya.. nilikuwa natafunaaaaa.. utofauti fulani ni hizi ngumu kizaidi.. ila za jana bado zijazila na mara ya mwisho ni wiki za mwanzo hizi anatangaza zilipotoka ndio nilinunua kula.
 
Lakini hakuna siku diamond amewahi kusema ni zake aidha kuwa balozi au wakala ni sehemu ya kutafuta pia na ni ngazi ya kufikia juu, sijaona unalaumu kwenye eneo gani zaidi ya chuki tu badala ya kumpongeza na kumpa moyo apambane zaidi.
 
Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.

Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media industry kwenye 'makoa wake'. Diamond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite

Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
 
Hata kwa wenzetu wasanii wakubwa wanatumiwa kama mabalozi tu! Mfano Diddy na Ciroc na Fif na Effen Vodka...
Wanatumiwa for Branding na wanapewa percentage ya mauzo nzuri tu! Labda muulize Diamond anapewa kiasi gani hapo
 
Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.

Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media kwenye 'makos wake'. Dismond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite

Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
Dada uko vizuri tupe ubuyu tupe ubuyu
 
Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.

Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media kwenye 'makos wake'. Dismond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite

Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
mkuu mbona Tz kun Tv stations nyingi inakuwaje uanzishwaji wa WCB TV iwe insu sana kwa akina ruge?
 
Back
Top Bottom