Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

Natembea kifua mbele nikijitapa kufahamiana na Pascal Mayalla. Huyu ndiye P ninayemfahamu mimi kabla ya 2015.
Kuna watu Bwana Mungu kawaumba si kuwa viongozi,bali kuwa mawakala wake.
Pascal haya uyafanyayo hakika ni uwakili wa kazi za Mungu.
Mh. Rais Samia S. S,tunakuomba umuache Pascal aendelee kutumika akiwa huku nnje tafadhali,maana tunaofaidika na uwakili wake ni wengi sana.
 
Hapana tupongeze hata kwa kidogo, DPP huyu ukilinganisha na takataka iliyopita ni vitu viwili tofauti kaisa
 
Naunga mkono hoja
 
Hapana tupongeze hata kwa kidogo, DPP huyu ukilinganisha na takataka iliyopita ni vitu viwili tofauti kaisa
Kipi cha kumfanya tumpongeze,unafikili maskini na wanyonge waliokua wananyanyaswa na hao maboss walio achiwa huru wanajisikiaje saivi
 
Kazi ya DPP siyo kutenda haki, hiyo ni kazi ya mahakama; kazi ya DPP akishirikiana na polisi ni kusimamia sheria (law enforcement). Polisi watakamata mtuhumiwa na kukusanya ushahdi dhidi yake, DPP ataunganisha ushahdi uliletwa kama unatosha kupeleka kesi mahakamani, akijiridhisha basi anaupeleka mahakamani ambako ndiko haki hutolewa.
 
Mpe heshima yake Mayala, we umewahi kuitwa Bungeni kwa ajili ya Post zako?
Kuitwaa bungeni tena! Hii mbumbumbu imetoka wapi tena? Huu ugali mnaokula watz unawaharibu mnoo..badilishen menu..bongo zenu zitakaa vzur.. bungeni wanaitwaa had watu wanaocheza uchi kwenye matv jombaa za tz
 
Achana na hizo mambo za wanyonge, kama wew bado mnyonge nenda kajinyonge tu. Nadhani Kabendera bado anamkumbuka Pascal Mayalla
Kwani wewe mbele ya habinda Seth sio mnyonge?mbele ya papa msofe sio mnyonge?hawawezi wakakuweka ndani bila hata kosa na ukaozea jera.Hawawezi wakaja kujenga kwenye kiwanja chako na na hati unayo wala usiwafanye kitu?sasa kwanini usiwe mnyonge
 
Ulisifia ubatili miaka yote 5 na miezi kadhaa. Leo unajifanya umeokoka, ati? Hypocrisy haitakuacha salama. Akija dhalimu mnampa sifa, akija mtu wa haki mnampa sifa! Bendera kufuata upepo ili mradi matumbo yenu yajae, siyo?
 
Kinachonikera mimi ni kwamba pamoja na madini unayotupa lakini wakubwa hawakuoni,wanakera sana,teuzi za Maded naomba Mungu uwemo.
 
Kipi cha kumfanya tumpongeze,unafikili maskini na wanyonge waliokua wananyanyaswa na hao maboss walio achiwa huru wanajisikiaje saivi
Jinai haifi mzee, unashahdini peleka hata leo wakamatwe, tuache fikira za kipumbavu za kujaza watu magerezani eti ndiyo unafanya kazi. Ndugai anahujumu uchumi mbona hakamatwi?
 
Mbona Lissu alipigwa risasi mchana kweupe na bado akaendelea kuwa na msimamo wake, Mbowe kufungwa na kufilisiwa na utawala wa shetani
Unamuongelea Lissu ambae baada ya madhila ameikimbia Nchi? Mbowe nae yupo kama hayupo amedhulumiwa mabilion ya pesa zake lakini aliufyata amekuja kusema juzi wakati Magufuli ameshafariki dunia

Hata huyo Mayalla hoja za kichokonozi alikuwa anatoa lakini zile nondo kali alipumzika kidogo
 
Tu
Mkuu Pascal Mayalla , namba 5 ni mhabusu au Mahabusu ?....

Kwingine umenena vyema, lakini mimi sijaona cha kupongeza kwenye Legal system zetu. Sehemu mbaya kabisa hapa nchini ni pale ukiwa Suspect kwenye ishu yeyote. Utateseka sana!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…