assuredly4
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 1,216
- 220
kazi ipo tutapata burudani ya bure kabisa
Kama ni kweli basi watakua wamefanya kama wakati wanamchagua spika wa bunge, ili kumchomoa Six, wakaja na wimbo wa safari hii mwanamke, na kwa wimbo huu basi kuna mwanaume anaetaka kuchomolewa hapa. Hebu tusubiri
watu wanajifunza uraisi tanzania hivi hatuna ready made president jamani
Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver
tanzania kuongozwa na muhaya......tokea liniLazima nikiri wazi hizi ni "habari za mitaani".Leo nilikuwa katikati ya mji napata chakula cha mchana katika mgahawa maarufu Alshababu au kwa waSomali ndani ya vyumba vya uwanja wa michezo Sheikh Amri Abeid.Nimekaa katika meza yenye watu wanne siwajui hata mmoja isipokuwa navutiwa na mazungumzo yao.
Mazungumzo yao yamejikita katika uchaguzi wa mwaka 2015.Wote wanakubaliana uchaguzi wa mgombea wa CCM tayari umeshaanza tangu mwaka 2011 najikuta nikijikaribisha mwenyewe bila kukaribishwa,nauliza ni kitu gani kimewaaminisha uchaguzi ndani ya CCM umeshaanza wote wanacheka mmoja anajibu unasikia Bwana hizi kelele za kuvuana gamba unafikiri ni nini kama siyo mkakati wa kumtafuta mgombea au wewe huko dunia ipi ?.Najianda kutoa majibu naambiwa na Kijana mwingine tulia Mzee unajua Kikwete mjanja sana anajua kundi la mapacha watatu lina nguvu kubwa sana na linaweza kuzuia chaguo lake ahaa naingilia kati kwani chaguo la Kikwete ni nani ?.Mzee mpaka leo hujui chaguo la Kikwete we mtanzania kweli kwa taarifa yako Dr Asha Rose Migiro Rais wako 2015.
Mkakati wa Mwenyekiti wa CCM ni kupendekeza mgombea mwanamke "Safari hii ni mwanamke".Upo Mzee wataangaliwa wanawake wenye uzoefu mkubwa.
[1] Anna Makinda Spika wa bunge la JMT,huyu atagaragazwa kwa skando la posho.Suala la posho kwa taarifa yako Rais analijua na alishalikubali kaamua kuliacha lilivyo ili kumuondolea sifa Makinda.Nauliza wapi mmepata hizi habari [Naomba source].Mimi mbunge wangu kanimbia kila kitu,vikao vya wabunge wa CCM suala la posho lilishapitishwa siku nyingi Mama wa watu kaachiwa kikapu.Hivi vikao vya CDM Magogoni nia yake kubwa ni kumdhalilisha spika asivyojua kazi yake vizuri.
[2] Professor Tibaijuka Waziri wa Ardhi,huyu atagaragazwa na waZanzibar au hujasikia alivyoshutumiwa na waZanzibar Tanzania kujiongezea mipaka ya eneo la Bahari kuu.Mzee huu ni mkakati wa Kikwete kamtuma Jussu kupayuka maksudi auanataka kujifanya hujui Jussu alipewa ubunge na Kikwete hawa ni marafiki wakubwa wana mikakati yao siku mkishtuka Dr wake kashakalia kiti cha magogoni.
[3] Dr Asha Rose Migiro Naibu katibu mkuu UN,huyu atapeta hana kashfa wimbo sasa ni zamu ya kina mama utaimbwa waTanzania kama kawaida yenu mtaupokea na kuongezea madoido.Mzee kwa taarifa yako huyu Mama kaambiwa ni lazima arejee nyumbani haraka wajumbe na warasimu wa CCM wamzoee mapema siku ngoma ikipigwa msijesema alikuwa wapi siku zote.Namalizia juice baridi tunaagana na hawa marafiki zangu wapya nafurahi uTanzania wangu namkumbuka Nyerere lugha ya kiswahili imetuunganisha waTanzania.Marafiki zangu wapya hatukuulizana dini wala makabila yetu.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika na watu wake.
Mmmh!!!nashindwa kuelewa na iniingie akilini mbona umekuwa mkali hvyo?naisi kama ungekuwa uwezekano wa kuonana face 2 face mmojawpo angeota nundu!ulikuwa mtazamo wake,na wewe ni wako lakn maneno makali makali na makavu makavu kama hayo hujamjenga ki logic,zaidi atataka amkandie zaidi.Wwe una uhakika gani na ulichosema?i thik vice versa z trueHayo ni maneno ya mitaani yenye chuki binafsi, ya uzandiki na yasiyo na tija yoyote ile.
Watanzania hatujafunga macho wala masikio mpaka tusifaham kazi kubwa na ya pekee inayofanywa na Dr.Migiro pale UN.
Wewe ni mtu wa namna gani usiyelionea haya jasho la mwanadamu mwenzako tena hasa mtanzania mwenzako?
Nyie ndio wale watu ambao ni bora apate mzungu lkn ni sumu kwenu akipata mtanzania mwenzako. Na ikitokea akipata au akisifiwa basi kazi yenu ni kutapakaza majungu na chuki.
Kwa taarifa yako utamchukia mwenyewe na hiyo chuki yako itakurudia mwenyewe.
Watanzania wote tunamfahamu na tunathamini kazi nzuri ya Mama yetu Dr. Migiro.
Hongera MAMA na tunakuombea dua kwa Mungu uepushwe na watu wenye chuki zao kama huyu.
Heko Dr.Migiro.
Tusikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Asha Rose ubunge wake ulikuwa ni wa kuteuliwa. Kikwete, ingawa alikuwa mbunge wa Chalinze lakini tumeona jinsi utendaji wake ulivyo ovyo. Sasa hatuwezi kutoka ovyo 1 na kuingia ovyo 2.Na Bilal, Je?
Hayo ni maneno ya mitaani yenye chuki binafsi, ya uzandiki na yasiyo na tija yoyote ile.
Watanzania hatujafunga macho wala masikio mpaka tusifaham kazi kubwa na ya pekee inayofanywa na Dr.Migiro pale UN.
Wewe ni mtu wa namna gani usiyelionea haya jasho la mwanadamu mwenzako tena hasa mtanzania mwenzako?
Nyie ndio wale watu ambao ni bora apate mzungu lkn ni sumu kwenu akipata mtanzania mwenzako. Na ikitokea akipata au akisifiwa basi kazi yenu ni kutapakaza majungu na chuki.
Kwa taarifa yako utamchukia mwenyewe na hiyo chuki yako itakurudia mwenyewe.
Watanzania wote tunamfahamu na tunathamini kazi nzuri ya Mama yetu Dr. Migiro.
Hongera MAMA na tunakuombea dua kwa Mungu uepushwe na watu wenye chuki zao kama huyu.
Heko Dr.Migiro.
Hii ipeleke Chitchat huko haina hadhi ya jukwaa hili
just a dream.....No ready made president? Wait for strong propaganda to be aired by wavuamagamba......vs......chandimu a.k.a CDM.
jk anajua...na analijua hili tena vizuri sana kuwa ''asha-rose'' hawezi wa rais wa nchi hii....
Hivi nyie mnaomzungumzia huyu Asha-Rose Migiro mnajua asili yake ni nchi ipi?
Je amekana uraia wa nchi yake lini?
Kama hadhiti vile!
Anyway tupe authority ya hao vijana ulikuwa unajadiliana nao kwanza alafu niambie kwanini nisiseme wewe hoja yako hapa juu ya Mapacha na magamba wala si lolote na si Rose Migiro!?
Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver
hilo ni chguo lake yeye kama jakaya mrisho kikwete alakini sio chaguo la kamati kuu ya sisiemu na watanzania!!!!!
Hao marafiki zako wapya walikuwa wanasumbuliwa na shibe tu hivyo wakakoswa maneno ya kusema.
Tusikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Asha Rose ubunge wake ulikuwa ni wa kuteuliwa. Kikwete, ingawa alikuwa mbunge wa Chalinze lakini tumeona jinsi utendaji wake ulivyo ovyo. Sasa hatuwezi kutoka ovyo 1 na kuingia ovyo 2.