Kumbe Dr Asha Rose Migiro ni chaguo la Kikwete!

si lazima tuwe na raisi
tanzania tumestaarabika.
 
Kama ni kweli basi watakua wamefanya kama wakati wanamchagua spika wa bunge, ili kumchomoa Six, wakaja na wimbo wa safari hii mwanamke, na kwa wimbo huu basi kuna mwanaume anaetaka kuchomolewa hapa. Hebu tusubiri

Kweli kabisa.
 
Hatudanganyikiii.hatuwezichaguliwa rais na vuvuzela.rais ajaye atatokana na wananchi wote
 
Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver

Hayo ni maneno ya mitaani yenye chuki binafsi, ya uzandiki na yasiyo na tija yoyote ile.
Watanzania hatujafunga macho wala masikio mpaka tusifaham kazi kubwa na ya pekee inayofanywa na Dr.Migiro pale UN.
Wewe ni mtu wa namna gani usiyelionea haya jasho la mwanadamu mwenzako tena hasa mtanzania mwenzako?
Nyie ndio wale watu ambao ni bora apate mzungu lkn ni sumu kwenu akipata mtanzania mwenzako. Na ikitokea akipata au akisifiwa basi kazi yenu ni kutapakaza majungu na chuki.
Kwa taarifa yako utamchukia mwenyewe na hiyo chuki yako itakurudia mwenyewe.
Watanzania wote tunamfahamu na tunathamini kazi nzuri ya Mama yetu Dr. Migiro.
Hongera MAMA na tunakuombea dua kwa Mungu uepushwe na watu wenye chuki zao kama huyu.
Heko Dr.Migiro.
 
tanzania kuongozwa na muhaya......tokea lini
 
Mmmh!!!nashindwa kuelewa na iniingie akilini mbona umekuwa mkali hvyo?naisi kama ungekuwa uwezekano wa kuonana face 2 face mmojawpo angeota nundu!ulikuwa mtazamo wake,na wewe ni wako lakn maneno makali makali na makavu makavu kama hayo hujamjenga ki logic,zaidi atataka amkandie zaidi.Wwe una uhakika gani na ulichosema?i thik vice versa z true
 
Tanzania kuongozwa na Mwanamke bado kabisaa, hili nililiona kwake Mongela alivyofeli kutatua matatatizo ya jimbo lake mpaka kumpelekea kushidwa kwenye Ubunge, je huyu tungempa Urais leo ingekuwaje, Angalia Ana Makinda na vitisho vyake, karibia kuna siku hatalia bungeni. Sasa huyu Asha ataweza nini wakati kashinwa UN
 
Na Bilal, Je?
Tusikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Asha Rose ubunge wake ulikuwa ni wa kuteuliwa. Kikwete, ingawa alikuwa mbunge wa Chalinze lakini tumeona jinsi utendaji wake ulivyo ovyo. Sasa hatuwezi kutoka ovyo 1 na kuingia ovyo 2.
 

huna pointi. kafanya nini pale UN?
AU SERA YA LADIES 1ST?
 
Wakuu hii nondo niliileta hapa jamvini 25 January 2012.Mama ndio kashachukua fomu hivyo taratibu msije mkaniparura bure.

Hii ipeleke Chitchat huko haina hadhi ya jukwaa hili

just a dream.....No ready made president? Wait for strong propaganda to be aired by wavuamagamba......vs......chandimu a.k.a CDM.

jk anajua...na analijua hili tena vizuri sana kuwa ''asha-rose'' hawezi wa rais wa nchi hii....

Hivi nyie mnaomzungumzia huyu Asha-Rose Migiro mnajua asili yake ni nchi ipi?
Je amekana uraia wa nchi yake lini?

Kama hadhiti vile!

Anyway tupe authority ya hao vijana ulikuwa unajadiliana nao kwanza alafu niambie kwanini nisiseme wewe hoja yako hapa juu ya Mapacha na magamba wala si lolote na si Rose Migiro!?

Huyu mama amefukuzwa kazi baada ya kushindwa kudeliver

hilo ni chguo lake yeye kama jakaya mrisho kikwete alakini sio chaguo la kamati kuu ya sisiemu na watanzania!!!!!

Hao marafiki zako wapya walikuwa wanasumbuliwa na shibe tu hivyo wakakoswa maneno ya kusema.
 
Mkuu Jasusi Mama ndio kachukua fomu hivyo utashangaa tunauziwa mbuzi kwenye gunia mchana kweupe.

Tusikubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Asha Rose ubunge wake ulikuwa ni wa kuteuliwa. Kikwete, ingawa alikuwa mbunge wa Chalinze lakini tumeona jinsi utendaji wake ulivyo ovyo. Sasa hatuwezi kutoka ovyo 1 na kuingia ovyo 2.
 
Last edited by a moderator:
Sasa naanza kupata ushawishi uenda Kikwete anataka kuongeza muda wa kutawala kama wafanyavyo viongozi wa Uganda,Rwanda & Burundi.

Tofauti na wenzake yeye ataondoka Ikulu lakini apampeleka mtu wake Ikulu atakamwongoza akiwa Msoga mkija kushtuka tutajikuta tumeongozwa na Kikwete miaka 20.
 
Mtoa mada hana nyimbo wala hasomi alama za nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…