Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
yaani inashangazaWatu wanapata tabu na Mali za mtu mwengine hii ni hatari sanaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani inashangazaWatu wanapata tabu na Mali za mtu mwengine hii ni hatari sanaaaa
wewe kufungua fungua thread huchoki kubwabwaja kila sik huchoki ndio shida ya kukaa muda mrefu bila ndoa
Umeanza kuchanganyikiwa sasa Wasafi limited ndio Wasafi TV? ahahahhahaahhahaaha
Jamaa hamna kitu kabisa, hizi roho mbaya ujaza uchafu rohoniMkuu ndoa tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upate funzo kua usianzishe tread ukiwa hujui kitu
Humu kuna watu wanajua mambo vyema kabisa
Ukiona hujui pata elimu usikimbizane nao
Ona sasa bado kidogo utakimbia uzi wako
Mala feki
Mala sio yake sasa
Bado kidogo utaleta uzi useme yake ila haendeshagi yeye
Yaan kifupi wewe ni mwijaku old model
Jifunze[emoji23][emoji23]
Bado ana shares na WASAFI na kiasili ndio mmiliki mkuu
Jamaa hamna kitu kabisa, hizi roho mbaya ujaza uchafu rohoni
Kwani document imeandikwa Wasafi TV?
Lakini ana hela kutuzidi woteDomo ana tatizo ndani ya akili, hivi kwanini anapata sana tabu na walala hoi? anashindana na nani kulazimisha ku prove kuwa yeye ana pesa? kulikua na haja gani mpaka Bill of Lading ya hiyo gari yaka ikafika mitandaoni? Jama ni mshamba mno wa kiwango cha SGR
Hatujui tushike ,ila tutapambana hadi mwishoMara fake mara si yake yani vurugu tupu [emoji3][emoji3]
Wewe dogo anayekukata anachafuka sana na hilo tope lililojaa ujinga wa kichwani.wewe kufungua fungua thread huchoki kubwabwaja kila sik huchoki ndio shida ya kukaa muda mrefu bila ndoa
Huku Diamond anawapelekea motomtahangaika sana mwaka huu
Umemjibu vizuri mkuu. Sijui alifikili kampuni manake serikali auView attachment 1855622
Kwani zile Scania zilizo agizwa na Azam ni za Azam au Bakheresa.
Ila tunacho shukuru kumbe kweli model yake ni ya 2021,asante kwa kutusaidia hilo.
Tena wameandika WASAFI LIMITED. Sio Wasafi Label wala Media na mchakato mzima wa usafirishaji umesimamiwa na Sallam ambaye meneja wake Diamond.
Tunakushukuru sana kwa hiyo document.
Inasimamia nini hii wasafi limitedHata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya
Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
Watu wanapata tabu na Mali za mtu mwengine hii ni hatari sanaaaa
Unachanganya wasafi tv na wasafi limited
Hapana mkuu, gari ni yangu...Gari ni ya Joseph Kusaga.