Kumbe gari ya kampuni?

Kumbe gari ya kampuni?

wewe kufungua fungua thread huchoki kubwabwaja kila sik huchoki ndio shida ya kukaa muda mrefu bila ndoa

Mkuu ndoa tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upate funzo kua usianzishe tread ukiwa hujui kitu
Humu kuna watu wanajua mambo vyema kabisa
Ukiona hujui pata elimu usikimbizane nao
Ona sasa bado kidogo utakimbia uzi wako
Mala feki
Mala sio yake sasa
Bado kidogo utaleta uzi useme yake ila haendeshagi yeye
Yaan kifupi wewe ni mwijaku old model
Jifunze[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ndoa tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upate funzo kua usianzishe tread ukiwa hujui kitu
Humu kuna watu wanajua mambo vyema kabisa
Ukiona hujui pata elimu usikimbizane nao
Ona sasa bado kidogo utakimbia uzi wako
Mala feki
Mala sio yake sasa
Bado kidogo utaleta uzi useme yake ila haendeshagi yeye
Yaan kifupi wewe ni mwijaku old model
Jifunze[emoji23][emoji23]
Jamaa hamna kitu kabisa, hizi roho mbaya ujaza uchafu rohoni
 
Domo ana tatizo ndani ya akili, hivi kwanini anapata sana tabu na walala hoi? anashindana na nani kulazimisha ku prove kuwa yeye ana pesa? kulikua na haja gani mpaka Bill of Lading ya hiyo gari yaka ikafika mitandaoni? Jama ni mshamba mno wa kiwango cha SGR
 
View attachment 1855622

Kwani zile Scania zilizo agizwa na Azam ni za Azam au Bakheresa.

Ila tunacho shukuru kumbe kweli model yake ni ya 2021,asante kwa kutusaidia hilo.

Tena wameandika WASAFI LIMITED. Sio Wasafi Label wala Media na mchakato mzima wa usafirishaji umesimamiwa na Sallam ambaye meneja wake Diamond.

Tunakushukuru sana kwa hiyo document.
Umemjibu vizuri mkuu. Sijui alifikili kampuni manake serikali au
 
Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya

Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
Inasimamia nini hii wasafi limited
 
Back
Top Bottom