Kumbe gari ya kampuni?

Let's learn from the best.. Kuwadiss waliotuzidi kimaisha haitatusaidia chochote.. Sana sana tutadhihirisha wivu wetu mbaya
Nyie si ndio mlikuwa mkimdiss asichukue tuzo ya BET mkiongozwa na Lema na wale madada fyatu wa Twitter..!?

Imekuaje tena unaanza kulamba matapishi hata mwezi haujaisha!???
 
Ile si V12 mbona hapo mnasema V8.. pia kwakua ni mlipa kodi mzuri kuingiza kwa kutumia company inamsaidia kwenye kupunguza gharama za ushuru.. hata makanisa hufanya hivyo
Wameandika uongo mbwa hao! Wabongo hukosea sana model za magari hasa land cruisers wao wanaandikaga hard top! Hata kama ni 100 series πŸ˜…
 
Ile si V12 mbona hapo mnasema V8.. pia kwakua ni mlipa kodi mzuri kuingiza kwa kutumia company inamsaidia kwenye kupunguza gharama za ushuru.. hata makanisa hufanya hivyo
Kwa hiyo ni magumashi ya kukwepa kodi

Kuna level fulani ukifika hutegemewi ufanye magumashi kwenye kununua gari...Tulidhani Diamond ameshafika level hiyo kumbe duuuh

halafu kampuni kununua Rolls Royce kwa matumizi binafsi ya mfanyakazi ni wasteful spending and poor management..

tusije kusikia wafanyakizi wanalalamika mishahara haijalipwa au ni midogo wakati management inajinunulia magari ya kifahari...

matatizo ya ukata wa payroll yametokea IPP Media, yametokea Sahara Media, yametokea Tanzanite Press, nk nk nk na walikuwa hawanunulii mabosi ma Rolls Royce

vema angetenganisha matumizi yake na ya kampuni, washauri kama Babu Tale ni wazi hawatoshi kwa mahala alipofika Diamond
 
Ile si V12 mbona hapo mnasema V8.. pia kwakua ni mlipa kodi mzuri kuingiza kwa kutumia company inamsaidia kwenye kupunguza gharama za ushuru.. hata makanisa hufanya hivyo
Acha kusema uongo, makanisa yana msamaa wa kodi lkn sio kwa kampuni za kibiashara
 
Acha kusema uongo, makanisa yana msamaa wa kodi lkn sio kwa kampuni za kibiashara
Upo sahihi, exemption. Nilichanganya kidogo kwa kulinganisha. Ila mfanyabiashara ambae ni mlipa kodi mzuri inakuwa nafuu sana. Maana yangu kwa kanisa, watu siku hizi wanapitishia gari za thamani kupitia huko kukwepa tozo
 
Hapana sio kukwepa kodi, makanisa huwa yana misamaha ya kodi, unakuta waumini pendwa hupitishia huko ila hayauziki hayo magari πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ maana utalipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…