Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Sawa mkweliAcha uongo
Mwacheni mtu afurahie jasho lake, kama hela ipo na amependa kutumia shida niniDiamond anashindwa kutenganisha Matumizi ya kampuni na yake binafsi.
Kihasibu haijakaa sawa hiyo..lazima kuwe na separation.
Ila hongera zake,wengine hata Vitz tu imetushindwa kununua.
Au GX90Kabisa..hata kama kanunua used lkn
Amelitolea hela ndefu,wengine tuna mwaka wa 12 tunaendesha nissan patrol
Ova
Sie kina nani? Nijibu mimi na weka na ushahidi wako! Punguza uzushiNyie si ndio mlikuwa mkimdiss asichukue tuzo ya BET mkiongozwa na Lema na wale madada fyatu wa Twitter..!?
Imekuaje tena unaanza kulamba matapishi hata mwezi haujaisha!???
Kuna haja ya kutoa somo kuhusu sharesWanahangaika sana hawa wafuasi wa H.mama na Mwijaku [emoji23][emoji23][emoji23] siku wakielewa 45% kwenye faida ya kampuni ina nguvu kiasi gani wataacha utoto
Watu wanatumia akili mkuu.Diamond anashindwa kutenganisha Matumizi ya kampuni na yake binafsi.
Kihasibu haijakaa sawa hiyo..lazima kuwe na separation.
Ila hongera zake,wengine hata Vitz tu imetushindwa kununua.
Hakuna ulimbukeni kwenye Mali yako, ulimbukeni ni kuangaika na Mali za watu, atangaze ili motivation ipatikane kwa wengine, ndio maana matukio ya kina mfalme selemani kuwa alikuwa Tajiri yapo mpaka leo kumbukumbu zimewekwa
Na Yule mke wa kusaga unamuweka wapi?Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya
Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
Yule ana shares kwny sub_company ambayo ni Wasafi Media iliyopo chini ya main company ambayo ni Wasafi Limited inayomilikiwa na Mond (80%) pamoja na mama yake (20%)Na Yule mke wa kusaga unamuweka wapi?
Unajua kunya ni moja kati ya starehe nzuri sana, pole sana kama we hupendi kunyaunapenda kunya sana wewe ndio jambo unalowaza usikute hata hapo unanukia harufu ya choo
~Music Productions and distributionsInasimamia nini hii wasafi limited
Ushuru ni nafuu kuliko kuagiza kibinafsiFaida yake ni ipi ukinunua kupitia kampuni, na mm nijifunze?
kwenye makampuni kuna kitu kinaitwa corporate/ushirika, hapa mnashirikiana na kampuni kununua mali fulani. Mali yako binafsi ukiinunua kupitia mgongo wa kampuni VAT yake itapigiwa km ni asset ya kampuni, so kampuni litatozwa kodi ya jumla na sio asset husika km ungenunua kwa kutumia jina lako.! Hivo makato yanakuwa afadhali kidogoFaida yake ni ipi ukinunua kupitia kampuni, na mm nijifunze?
Juhayna ni mke halali wa Kusaga...
It's just a car people. You can get one too if you hustle right and stack your paper.Hivi Diamond angeweza kuleta kiwanda cha Rolls Royce Bongo akakimiliki, watu fulani si wangejinyonga kabisa?
It's just a car people. You can get one too if you hustle right and stack your paper.
It's not like he said he has invented some cold fusion technology.