Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

Utawa-hit wangapi?
umewahi kuhesabu tangu uzalie umekula au kwenda choonimara ngapi??

Utawa-run wangapi?
umewahi kuhesabu vipindi vya shule ulivyotoroka?

Kula kula mkuu!
kula ni lazima kuoga hiari.

Yawezekana haujapatikana, Ila siku ukiingia ktk 19 zao uta-stay tu mkuu wala hautachomoka
wewe uliepatikana una nini hadia saivi zaidi ya routine ya maisha ya kila siku??
Cc@Davet
 
Mkuu, huo upupu wa laana ulikaririshwa na dini iliyokukuza. Period.
Laaana ina exists. Kama huamini kamtukane mama ako mzazi, kamtukane baba yako mzazi, au mlez ... wote hao watasikitika.. na mioyo ya wazizi ikiinama kuana maneno watayatamka kwako.. hayo maneno yataandamana na wewe moaka siku unakufa.

Jarib uone kama nakudanganya.
 
Nilijaribu. Nikaona yote ni ubatili.
 
Kama baba ako angekua na mawazo ya kipunguani kama yako tusingekua na member mwenye mawazo ya kitoto kama yako humu.
wewe mbona baba yako hakuwa punguani lakini leo ni single mother, baba mtoto akija hata kusalimia mtoto anaishia getini kwasababu ndani una libwana lingine..sasa wewe upo kundi gani; punguani au mwenye akili kushinda baba yako aliyekuzaa ukawa mtoto wa kike?
 
Msemaji wa genta

Umeeleweka
nawashangaa walio na mihemko ili hali mm ndio msemaji rasmi wa Genta, na nina wajibu wa kumrekebisha bosi au kuishi kwa mfano wake...sasa watu povu limewajaa hadi wanaogelea
 
Back
Top Bottom