unajenga SGR tatu 😀Hakika mkuu, bajeti ya taifa hii
Lakini Azam akinunua haki hizo, hanunui kwa bei hiyo, inakuwa chini ya hapo. Ishu ni kwamba DSTV kashika sana soko hapa subsaharan Africa (Anglophone countries), kumpiku kule EPL ni kipengele sana.Nani alisema azam ikinunua matangazo ya EPL,UEFA Champions DSTV wasahau kupata wateja hapa bongo!
sio kwa bei hizo
ishu ni kuwa matangazo hata ya NBC Premier league huwa siyaelewi, graphics zipo low, marudio slow motion hazipo vizuri kama za wengine kina EPLLakini Azam akinunua haki hizo, hanunui kwa bei hiyo, inakuwa chini ya hapo. Ishu ni kwamba DSTV kashika sana soko hapa subsaharan Africa (Anglophone countries), kumpiku kule EPL ni kipengele sana.
kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizoNani alisema azam ikinunua matangazo ya EPL,UEFA Champions DSTV wasahau kupata wateja hapa bongo!
sio kwa bei hizo
Haaa kumbe!!??👿kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo
hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA incrude TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka
kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima
nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
HatariLakini Azam akinunua haki hizo, hanunui kwa bei hiyo, inakuwa chini ya hapo. Ishu ni kwamba DSTV kashika sana soko hapa subsaharan Africa (Anglophone countries), kumpiku kule EPL ni kipengele sana.
hio iko wazi inaeleweka, AZAM ajichange anunue japo hata mechi 5 kila wikikwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo
hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA incrude TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka
kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima
nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
hahaha alete zaIla ahakikishe zinakuwa za team pendwa sio analeta vimechi vya southampton
Hii inawezekana. Miaka ya nyuma ITV, TBC na Channel 10 nadhani wamewahi kununua leseni ya kurusha mechi moja moja kwa wiki. Sijajua wanakwama wapi. Hata ZBC wamewahi kuwa na leseni ya namna hiyo!hio iko wazi inaeleweka, AZAM ajichange anunue japo hata mechi 5 kila wiki
Ni kweli, kwenye suala la quality, Azam wapo chini sana. HD ya Azam ni tofauti kabisa na ya DSTVishu ni kuwa matangazo hata ya NBC Premier league huwa siyaelewi, graphics zipo low, marudio slow motion hazipo vizuri kama za wengine kina EPL
Umeongea jambo la maana sana,hawa wanakalia kutishana tu.kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo
hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA include TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka
kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima
nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
Sio kutishana huo ndio ukweli japo ni mchunguUmeongea jambo la maana sana,hawa wanakalia kutishana tu.