GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
DSTV kaingia mkataba na nani kuonyesha EPL.?kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo
hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA include TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka
kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima
nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
Unamanisha Ile timu ya 13rd mayo ipo Kwa 5 Bora?Man Utd vs
unajua ndio inayoongoza kwa kutwaa EPL na kwa supporters wengi au umesahau mkuu?Unamanisha Ile timu ya 13rd mayo ipo Kwa 5 Bora?
DSTV ni jipuCanal Wanarusha EPL, LA LIGA, BUNDESLIGA, LIGUE I, UCL, EUROPA LEAGUE, CONFERENCE LEAGUE, SAUDI PRO LEAGUE, CAF champions na confederation, UFC n.k kwa 50,000 per month.
Ili uone programs za hapo juu, DSTV unatakiwa ulipie kifurushi cha angalau 64,000 ambapo mechi muhimu za UCL kuanzia group/league phase to final utazisikia kwenye bomba. Ukitaka kuona full ulipie 116,000
Summary: Mchawi sio gharama ya matangazo. Je ni nani?
Sijakataa mkuu ila position iliyopo now NI tatizo kubwa .Nottingham wamechukua UCL mara mbili .wanastahili iyo top 5unajua ndio inayoongoza kwa kutwaa EPL na kwa supporters wengi au umesahau mkuu?
Wanaonyesha mechi moja kila wikihio iko wazi inaeleweka, AZAM ajichange anunue japo hata mechi 5 kila wiki
Na bado DStv wanahonga parefu wasikose, maana ndiyo kete kuuNani alisema azam ikinunua matangazo ya EPL,UEFA Champions DSTV wasahau kupata wateja hapa bongo!
sio kwa bei hizo
ungesema hivyo mwanzo ila sio kuibeza United, me ni fan wa Man city lakini I respect Man utd kwenye prime yao hakuna aliweza kuwagusa! kila jambo na wakati wake kwa sasa ni wakati wa Liverpool, Man city na e.t.c united wasubiriSijakataa mkuu ila position iliyopo now NI tatizo kubwa .Nottingham wamechukua UCL mara mbili .wanastahili iyo top 5
Nilishindwa kuelewa hv karibuni azam wakasema wameleta kamera za bei moja mil 500 lakin kamera ya slow motion haipo mpaka leo sasa VAR waliyokuwa wanasema wangeitumiaje kama hyo camera ya slow haipoishu ni kuwa matangazo hata ya NBC Premier league huwa siyaelewi, graphics zipo low, marudio slow motion hazipo vizuri kama za wengine kina EPL
ingekuwa sio uzalendo NBC PL ingekuwa ishajumuishwa kwenye DSTV walitoa donge nono ila likapigwa chini, Multichoice wale jamaa ni level nyingine kwa AZAM japo AZAM inajitahidi kwa kiasi chake.Na bado DStv wanahonga parefu wasikose, maana ndiyo kete kuu
Ata wew kuna timu umeibeza hapo mkuu,ina maana Arsenal huioni,mpaka unaitaja liver na city tuungesema hivyo mwanzo ila sio kuibeza United, me ni fan wa Man city lakini I respect Man utd kwenye prime yao hakuna aliweza kuwagusa! kila jambo na wakati wake kwa sasa ni wakati wa Liverpool, Man city na e.t.c united wasubiri
Hizo zinauzwa pesa ndefu sana. Kwani wao wajinga?hahaha alete za
Man City vs
Man Utd vs
Arsenal vs
Chelsea vs
Liverpool vs
umeuliza mkuu au umesemaHizo zina
Hizo zinauzwa pesa ndefu sana. Kwani wao wajinga?
Nime sema mkuu.umeuliza mkuu au umesema