Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Habari za usiku.
Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni.
Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka kwa single mothers kama ilivyo huku kwetu
Nilifikiri kwa kuwa wenzetu wako mbele kwa ustaarabu hivyo wangewastahi single mothers lakini kumbe sivyo.
Niliona wachache wanaokemea tabia hiyo ya kuwasema single mothers lakini haikufua Dafu kutokana na uchache wao.
Hii inatuambia nini?
1. Wadada ambao hamjaolewa mjichunge sana. Kama hautaki makelele ya jamii ni vizuri uwe makini. Usizae kabla ya ndoa.
2. Vijana tutumie Kinga ili kuepusha mimba zisizotarajiwa.
3. Binadamu wote ni sawasawa ingawaje hawalingani.
Jioni njema