Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

Duuh tusimulie ilikuwaje ukaingia kingi
Single mothers wengi wamepitia hali za kukabiliwa na majukumu ya kukuza mtoto(watoto) bila msaada wa waliopeana mimba. Yale majukumu yanawaletea hali fulani za kujiamini na kujiona wanaweza kila kitu. Mbaya zaidi huwajengea kiburi, ubinafsi na kujiona kama waliweza kuyabeba machungu yote ya nyuma basi wewe mwanaume mpya hauna jipya la kumfanya asiweze kulibeba. Aisee hawa wanawake ni wajuaji wa kila kitu, wanaishi kiume, lakini pia hawaachi kujiona kama ni nguzo kwenye maisha ya wanae hata kama mwanaume unajitoa kwa mengi kuliko yeye. Changamoto ni nyingi zaidi ya nilizoandika hapa maana yamenikuta mengi

Kiufupi ukiishi na single mother kwa miezi michache tu unapata sababu kwa nini mwanaume mwenzio yalimshinda. Hata wewe yanaweza kukushinda ukachapa raba mapema sana.
 
Nakazia hii point muhimu sana.

Niliwahi kumuelewa singo maza mmoja ambaye sifa za nje zilinivutia sana. Nikawa nafikiria kuoa. Nikawaza kimasta, wanaotuhumu singo maza sio majinga, ngoja nimchimbe kwanza.
Nikalazimisha kukaa kwake kama siku 10 hivi. Niliyojionea ilikuwa uchafu sana. Alikuwa na kiburi akiamini mimi siwezi kupindua, kumbe nilikuwa naigiza tu. Katika mastori alifika hatua anasema hata akitaka leo mzazi mwenzie anamrudia. Nikasema huyu licha ya singo maza bado hata degree haimsaidii.
Nikakata kamba fasta.
 
Kuwa singo maza hapa JF inataka moyo. Yaani ni mashambulizi non stop utafikiri walijizalisha wenyewe. At some point hata sisi wanaume tuchukue blame kidogo jamani. Mpaka kufikia kumzalisha mtu si umeshamsoma ukaona angalau ana sifa za muhimu unazozitaka? Inakuwaje tena akishajifungua tu unalala mbele? We have to take some responsibility too guys; maana siamini kama kuna binti anayetaka kuwa singo maza by default. Something has to happen either kwa upande wake au kwa upande wa mzazi mwenzie...
 
Si wote wanaojifungua wanaachwa. Jiulize kwanini yeye.
 
Nakazia hii point muhimu sana.

Niliwahi kumuelewa singo maza mmoja ambaye sifa za nje zilinivutia sana. Nikawa nafikiria kuoa. Nikawaza kimasta, wanaotuhumu singo maza sio majinga, ngoja nimchimbe kwanza.
Nikalazimisha kukaa kwake kama siku 10 hivi. Niliyojionea ilikuwa uchafu sana. Alikuwa na kiburi akiamini mimi siwezi kupindua, kumbe nilikuwa naigiza tu. Katika mastori alifika hatua anasema hata akitaka leo mzazi mwenzie anamrudia. Nikasema huyu licha ya singo maza bado hata degree haimsaidii.
Nikakata kamba fasta.
Yaliyotukuta ndiyo tunajua tamu na chungu yake... Ni tamu kidogo tu ila ni chungu zaidi ya shubiri ukiingia kwenye mfumo wake

Btw pole sana mkuu
 
Single mothers wengi wamepitia hali za kukabiliwa na majukumu ya kukuza mtoto(watoto) bila msaada wa waliopeana mimba. Yale majukumu yanawaletea hali fulani za kujiamini na kujiona wanaweza kila kitu. Mbaya zaidi huwajengea kiburi, ubinafsi na kujiona kama waliweza kuyabeba machungu yote ya nyuma basi wewe mwanaume mpya hauna jipya la kumfanya asiweze kulibeba. Aisee hawa wanawake ni wajuaji wa kila kitu, wanaishi kiume, lakini pia hawaachi kujiona kama ni nguzo kwenye maisha ya wanae hata kama mwanaume unajitoa kwa mengi kuliko yeye. Changamoto ni nyingi zaidi ya nilizoandika hapa maana yamenikuta mengi

Kiufupi ukiishi na single mother kwa miezi michache tu unapata sababu kwa nini mwanaume mwenzio yalimshinda. Hata wewe yanaweza kukushinda ukachapa raba mapema sana.
Nimesoma tu hapa nimepata maumivu ya kichwa. Imagine kuishi na mwanamke wa namna hii, ni bora ukae na kichaa au mgonjwa wa akili ujue moja kwa moja upo na mgonjwa wa akili kuliko kudeal na mtu ambaye anajifanya mzima na kichwani zipo fyatu.
 
Ulaya kama single kupata nyumba ni mlolongo mrefu
Wasichana wanaamua kubeba mimba akizaa anaenda serikalini anapewa nyumba kisa mtoto
Ila maisha yao ni duni sana maana msaada hauwatoshi
 
Screenshot_20240725_081542.jpg
 
Ni sahihi kabisa. Japo baadhi yao wanatafuta wenyewe njia za kuvunja ndoa Ili wawe huru. Na baadhi yao wanadanganywa bas tusiwahukumu Moja Kwa moja japo uchunguzi wa kina utahitajika ukitaka kuwa nae
Kuwa singo maza hapa JF inataka moyo. Yaani ni mashambulizi non stop utafikiri walijizalisha wenyewe. At some point hata sisi wanaume tuchukue blame kidogo jamani. Mpaka kufikia kumzalisha mtu si umeshamsoma ukaona angalau ana sifa za muhimu unazozitaka? Inakuwaje tena akishajifungua tu unalala mbele? We have to take some responsibility too guys; maana siamini kama kuna binti anayetaka kuwa singo maza by default. Something has to happen either kwa upande wake au kwa upande wa mzazi mwen
 
Back
Top Bottom